Radio Jamii Kilosa

Recent posts

13 February 2021, 17:28

Wafanyabiashara waridhia tozo ya shilingi 50,000.

Wafanyabiashara waliopanga katika vibanda vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa vilivyoko katika kata ya Kasiki maeneo ya uhindini wamekubali kulipa tozo ya shilingi 50,000 kwa mwezi kwa kibanda hadi hapo vitakapofanyika vikao vya kisheria mara baada ya mwaka wa…

10 February 2021, 14:13

Wafanya biashara watakiwa kufungua maduka.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya  Kilosa Asajile Lucas Mwambambale ametoa rai kwa wafanyabiashara waliopanga katika vibanda vya biashara vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa vilivyopo katika kata ya Kasiki waliofunga maduka kufungua maduka hayo ili wananchi waendelee…

2 February 2021, 13:12

Mbunge wa Jimbo la Mikumi aongeza nguvu ujenzi wa Madarasa.

Mbunge wa jimbo la Mikumi Mh. Dennis Londo amekabidhi mifuko 200 ya saruji katika shule ze sekondari Iwemba, Lyahira, Kidodi na Ruhembe ambapo kila shule imekabidhiwa mifuko 50 ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono agizo la Waziri Mkuu la kuhakikisha…

2 February 2021, 11:20

Shule ya Sekondari Mazinyungu yajipanga Kuizika Sifuri 2021.

Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya Sekondari Mazinyungu Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro wemejipanga kuzika Daraja sifuri ili isionekane shuleni hapo katika matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2021. Wakizungumza Januari 29 mwaka huu katika kikao mkakati cha kuzika sifuri…

26 January 2021, 11:37

Tanesco kumaliza tatizo la kukatika umeme Kilosa- Meneja Tanesco

Shirika la Umeme Tanzania Tanesco wilayani Kilosa limejipanga kikamilifu kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara katika baadhi ya maeneo kunakosababishwa na nguzo chakavu zilizooza ama kuanguka. Akizungumza Januari 26 2021 katika kipindi cha Mambo Mseto kinachorushwa na…

MISSION AND VISSION

Kilosa FM ni kituo cha kijamii kilichopo wilaya ya kilosa mkoani Morogoro, Tafadhari tembelea ukurasa wetu