Radio Kwizera

Zaidi ya Wazee 100 Geita kutibiwa bure

October 9, 2026, 3:27 pm

Mfano wa Kadi ya Bima ya Afya. Picha NHIF

Lengo ni kuwawezesha kupata huduma bure kwenye Vituo vya Afya, Hospitali na maeneo mengine ya huduma za Umma.

Na Clement John- GEITA.

Halmashauri ya Manispaa ya Geita Mkoani humo imeadhimisha Siku ya Wazee Duniani kwa kutoa kadi za Bima ya Afya na vitambulisho kwa Wazee zaidi ya 100.

Lengo la kutoa vitambulisho hivyo ni kuwawezesha Wazee kupata huduma bure kwenye Vituo vya Afya, Hospitali na maeneo mengine ya huduma za Umma.

Taarifa zaidi anaripoti Clement John.

Sauti ya Clement John akiripoti zaidi kuhusu taarifa hiyo