Radio Kwizera
Radio Kwizera
October 16, 2026, 8:44 pm

Kurejea kwa huduma ya maji kunaelezwa kuwa ni baada ya kukamilika kwa matengenezo ya bomba la milimita 4 linalopelekea maji Kumwai na I.O.M
Na Samwel Masunzu- Kibondo, KIGOMA.
Siku moja baada ya Radio kwizera kufika Ofisi ya mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Kibondo KIUWASA, hatimaye huduma ya maji yarejea kwa wakazi wa kitongoji hicho.
Kurejea kwa huduma ya maji kunaelezwa kuwa ni baada ya kukamilika kwa matengenezo ya bomba la milimita 4 linalopelekea maji Kumwai na I.O.M
Kwa sasa huduma hiyo imekamilika huku kwa mjibu wa Mkurugenzi mtendaji wa KIUWASA Philipo Funga matengenezo mengine yakiendelea kukamilishwa ya mabomba yaliyoathiriwa na barabara mpya zinazojengwa hasa eneo la uwanja wa Taifa
Kwa undani wa Taarifa ii Samwel Masunzu anaripoti zadi