Radio Kwizera
Radio Kwizera
October 13, 2026, 11:43 am

Licha ya jamii kuwa na mitazamo mbalimbali kuhusu ugonjwa wa kifafa lakini wataalamu wa afya wanaeleza ukweli kuhusu ugonjwa wa kifafa.
Na Pasensi Scarion
Kupitia kipindi hiki cha Afya Jamii, utafahamu ukweli kuhusu kifafa, dalili zake zinazowachanganya wengi, aina kuu za kifafa, visababishi vyake, ukweli kuhusu dhana potofu za ushirikina na magonjwa ya akili, na jinsi unavyoweza kutoa msaada sahihi na wa kuokoa maisha pale mtu anapopata kifafa.
Bofya hapa chini kusikiliza kwa undani;