Recent posts
September 30, 2023, 8:18 pm
Mradi wa umeme maporomoko ya Rusumo kuzinduliwa Disemba
Mradi huo wa umeme uliopo Rusumo mpakani mwa Tanzania na Rwanda utazinufaisha nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi. Na, Laurent Gervas Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Mashaka Biteko amesema mradi wa kufua umeme wa maporomoko…
September 29, 2023, 9:39 pm
Biteko amtaka Aweso kufanya ziara kata ya Murusagamba
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dr.Dotto Mashaka Biteko amemtaka Waziri wa Maji Juma Aweso kufanya ziara katika kata ya Murusagamba wilayani Ngara ili kutatua changamoto ya maji kwa wananchi hao. Na, Marco Pastory: Naibu Waziri Mkuu na Waziri…
September 21, 2023, 1:50 pm
ACT Wazalendo wapinga matokeo uchaguzi jimbo la Mbarali, kukata rufaa mahakamani
Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakikubaliani na matokeo ya Ubunge yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kutangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbarali Ndugu Missana K. Kwangura Septemba20,2023. Na Laurent Gervas: Chama cha ACT Wazalendo chapinga…
September 21, 2023, 1:13 pm
Idara ya afya Wilayani Ngara Mkoani Kagera leo imezindua zoezi la utoaji chanjo…
Katibu tawala wa Wilaya ya Ngara Bw.Jawadu Yusufu aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera akizindua zoezi la kutoa chanjo ya Polio kwa watoto chini ya umri wa miaka 8 katika hospitali ya wilaya Nyamiaga. Idara ya afya Wilayani…
July 4, 2023, 2:54 pm
Matundu ya vyoo shule za msingi wilayani Ngara ni kitendawili
July 4, 2023, 11:37 am
Waandishi watajwa kuwa silaha, chachu mabadiliko ya maendeleo kwenye jamii
Waandishi wa habari nchini Tanzania wametakiwa kuzipa nguvu habari zinazopatikana katika jamii inayowazunguka ili kuleta mabadiliko chanya kimaendeleo kwa Watanzania Na; Pascal Mwalyenga Waandishi wa habari nchini Tanzania wametakiwa kuzipa nguvu habari zinazopatikana katika jamii inayowazunguka ili kuleta mabadiliko chanya…
July 3, 2023, 12:43 pm
Tanzania yapokea wakimbizi 11,049 toka DRC ndani ya miezi mitano
Mkurugenzi idara ya huduma kwa wakimbizi nchini Tanzania Bw. Suddy Mwakibisa amesema serikali ya Tanzania imepokea waomba hifadhi 11,049 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Mei 30 2023. Na; Amina Semagogwa Serikali ya Tanzania …
May 17, 2021, 5:03 pm
ACT Wazalendo wakataa Matokeo Uchaguzi Buhigwe
Na; Albert Kavano Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Buhigwe kupitia chama cha ACT Wazalendo mkoani Kigoma Bw Garula Tanditse ameyakataa matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge uliompa ushindi Mgombea wa CCM Bw Felix Kavejuru kwa asilimia 83. Akizunguma na…
May 13, 2021, 5:24 pm
Raia wa Burundi afia kwenye gari la abiria Ngara
Na; Asma Ahmed Watu wawili wanaosadikiwa kuwa Raia wa Burundi wamekutwa wakiwa wamefariki katika matukio tofauti Wilayani Ngara Mkoani Kagera Mkuu wa jeshi la Polisi wilayani Ngara Bw Abeid Maige amesema tukio la kwanza limetokea jana kwenye Kitongoji cha Mumasama…
May 7, 2021, 7:01 pm
Mlipuko wa Corona uliathiri Soko la Kahawa Ngara
Na; Seif Upupu Chama cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa, Ngara Farmers Cooperative Society cha wilayani Ngara mkoani Kagera kimesema kuwa mlipuko wa Virusi vya Corona duniani uliathiri Soko la Kahawa kutoka kwa wakulima wilayani humo Mwenyekiti wa Bodi ya…