Radio Kwizera
Radio Kwizera
July 4, 2023, 2:54 pm
July 4, 2023, 11:37 am
Waandishi wa habari nchini Tanzania wametakiwa kuzipa nguvu habari zinazopatikana katika jamii inayowazunguka ili kuleta mabadiliko chanya kimaendeleo kwa Watanzania Na; Pascal Mwalyenga Waandishi wa habari nchini Tanzania wametakiwa kuzipa nguvu habari zinazopatikana katika jamii inayowazunguka ili kuleta mabadiliko chanya…
July 3, 2023, 12:43 pm
Mkurugenzi idara ya huduma kwa wakimbizi nchini Tanzania Bw. Suddy Mwakibisa amesema serikali ya Tanzania imepokea waomba hifadhi 11,049 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Mei 30 2023. Na; Amina Semagogwa Serikali ya Tanzania …
May 17, 2021, 5:03 pm
Na; Albert Kavano Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Buhigwe kupitia chama cha ACT Wazalendo mkoani Kigoma Bw Garula Tanditse ameyakataa matokeo ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge uliompa ushindi Mgombea wa CCM Bw Felix Kavejuru kwa asilimia 83. Akizunguma na…
May 13, 2021, 5:24 pm
Na; Asma Ahmed Watu wawili wanaosadikiwa kuwa Raia wa Burundi wamekutwa wakiwa wamefariki katika matukio tofauti Wilayani Ngara Mkoani Kagera Mkuu wa jeshi la Polisi wilayani Ngara Bw Abeid Maige amesema tukio la kwanza limetokea jana kwenye Kitongoji cha Mumasama…
May 7, 2021, 7:01 pm
Na; Seif Upupu Chama cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa, Ngara Farmers Cooperative Society cha wilayani Ngara mkoani Kagera kimesema kuwa mlipuko wa Virusi vya Corona duniani uliathiri Soko la Kahawa kutoka kwa wakulima wilayani humo Mwenyekiti wa Bodi ya…
May 7, 2021, 6:40 pm
Na; Seif Upupu Rais Samia Suluhu Hassan amewaomba wazee nchini kuipa muda Serikali ya Awamu ya 6 ili kuangalia hali ya nchi na ya kiuchumi kisha aanze kuwapa malipo ya uzeeni Akilihutubia Taifa kupitia mkutano wake na Wazee wa Dar…
May 7, 2021, 6:26 pm
Na; Seif Upupu Wizara ya Maji imeidhinisha Sh Milioni 500 kwa ajili ya kujenga mradi wa Maji wa Ngara mjini wilayani Ngara mkoani Kagera utakaofikisha maji kwenye vijiji vya Mukididili, Buhororo, Kumuyange na Nyamiaga Mbunge wa jimbo la Ngara Bw…
May 3, 2021, 8:22 pm
Na; William Mpanju Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ kikosi cha 23 KJ limewataka askari kuwa wakakamavu na kufanya mazoezi kama sehemu ya maisha ya kijeshi kufuatia mafunzo sambaratisha adui yaliyolenga kujikumbusha mbinu za kivita ili kuendelea kulinda mipaka ya nchi . Mwandishi wa…
May 3, 2021, 7:58 pm
Na; Marco Pastory Jumla ya wakulima 120 wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya awali ya kilimo hai endelevu kwa mazao manne katika vijiji vitano vya wilaya Ngara Mkoani Kagera Mafunzo hayo yaliyofanyika katika kijiji cha Kasulo Wilayani Ngara yameazimia kutoa elimu…
Radio Kwizera is a regional community radio established in 1995 by the Jesuit Refugee Services (JRS) in collaboration with the United Nations High Commission for Refugees (UNHCR) and a catholic diocese of Rulenge-Ngara. It was created as a podium for the exchange of the information among the refugees, the organizations and Governments working with them. Radio Kwizera was established under the vision of Peace and Development (To lead a peaceful and prosperous life) and the mission to seek and restore hope and socio- conomic prosperity in northwestern Tanzania and its environs that host refugees from Great Lakes Region of Africa. Through peace, reconciliation, education, and development programs, Radio Kwizera will empower its audience with values, knowledge, and skills they need to lead a peaceful nd prosperous life.