Radio Kwizera

Recent posts

May 3, 2021, 7:39 pm

Kigoma kuwawajibisha watumishi wanaotatiza Uhuru wa Habari

Na; Phillemon Golkanus Serikali mkoani Kigoma imesema itawachukulia hatua watumishi wa umma na wakuu wa Taasisi za umma watakaokwamisha upatikanaji wa habari na kuwanyima ushirikiano waandishi wa habari kwa ajili ya maendeleo ya mkoa huo. Akizungumza katika maadhimisho ya siku…

May 2, 2021, 6:22 pm

Mbunge Ngara aombwa kuwatetea Watumishi

Na; Seif Upupu Chama cha Walimu, CWT wilayani Ngara mkoani Kagera kimemuomba Mbunge wa Ngara Bw Ndaisaba George Ruhoro kuendelea kupaza sauti ndani nan je ya Bunge kwa ajili ya kuwatetea walimu na watumishi wengine wa kada mbalimbali wilayani humo…

April 26, 2021, 11:51 am

Dr Mpango asema Huu ni Muungano unaoishi

Na Seif Upupu Makamu wa Rais Dr Philip Mpango amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni Muungano unaoishi ili kutimiza matakwa na malengo ya Watanzania Akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Muungano leo kwenye Ukumbi wa Chimwaga jijini Dodoma, Dr…

April 20, 2021, 5:57 pm

Vifo vya Wajawazito vyapindukia Kigoma

Na; Phillemon Golkanus Serikali ya Mkoani Kigoma imezindua mpango wa dharura wa miaka mitatu unaolenga kukabiliana na vifo vya wajawazito na watoto wachanga vilivyoongezeka hadi asilimia 95 katika vituo vya afya Mganga mkuu wa mkoa wa Kigoma Dr Simon Chacha…

April 19, 2021, 6:48 pm

‘Kwa Mpalange’ yampeleka Muumini BASATA

Na; Seif Upupu April 8, 2021 Mwanamuziki Mkongwe wa nyimbo za Dansi nchini, Prince Mwinjuma Muumini, Mwana Buguza, Roboti, Kocha wa Dunia aliachia Rekodi yake mpya ya miondoko ya Singeli inayokwenda kwa jina la Kwa Mpalange iliyoibua gumzo kwenye mitandao…

April 9, 2021, 5:46 pm

Mbunge wa Ngara alia na Mafuta ya kula

Na; Seif Upupu Serikali imetakiwa kuendelea kuboresha sekta ya Kilimo hususani kilimo cha Alizeti na Michikichi ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa mafuta ya kupikia Kauli hiyo imetolewa leo na Mbunge wa Jimbo la Ngara Bw Ndaisaba George Ruhoro…

April 9, 2021, 12:58 pm

Wakamatwa na Mifuko ya Plastiki Bukoba

Na; Anord Kailembo Wafanyabiashara 15 katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wamekamatwa na Idara ya Afya na Mazingira baada ya kukutwa na mifuko ya Plasitiki inayozuiliwa na Serikali. Afisa Mazingira wa Manispaa ya Bukoba Bw Tambuko Joseph amesema wafanyabiashara hao…

April 9, 2021, 12:33 pm

Akamatwa akiomba Rushwa ya ngono

Na; Anord Kailembo Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Kagera inamshikilia mkufunzi wa chuo cha kilimo Maruku kwenye Manispaa ya Bukoba kwa tuhuma za Rushwa ya Ngono Mkuu wa Takukuru mkoani Kagera Bw John Joseph amemtaja mkufunzi…

April 8, 2021, 5:35 pm

Mil 419.8 kujenga Miundombinu ya Elimu Ngara

Na; Seif Upupu Jumla ya Sh Milioni 419.8 zimetengwa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu kwa shule za Msingi na Sekondari kwenye Jimbo la Ngara mkoani Kagera Mbunge wa Jimbo la Ngara Bw Ndaisaba George Ruhoro…

April 2, 2021, 12:28 pm

Tembo wavamia mashamba Ngara

Na; Felix Baitu. Zaidi ya Ekari 5 za mazao mbalimbali kwenye kijiji cha Lwakaremela kata ya Kasulo wilayani Ngara mkoani Kagera zimeharibiwa na Tembo waliovamia kijiji hicho wakitokea katika hifadhi ya wanyapori ya Burigi Chato Wakazi wa kijiji hicho wamesema…

Radio Kwizera

Radio Kwizera is a regional community radio established in 1995 by the Jesuit Refugee Services (JRS) in collaboration with the United Nations High Commission for Refugees (UNHCR) and a catholic diocese of Rulenge-Ngara. It was created as a podium for the exchange of the information among the refugees, the organizations and Governments working with them. Radio Kwizera was established under the vision of Peace and Development (To lead a peaceful and prosperous life) and the mission to seek and restore hope and socio- conomic prosperity in northwestern Tanzania and its environs that host refugees from Great Lakes Region of Africa. Through peace, reconciliation, education, and development programs, Radio Kwizera will empower its audience with values, knowledge, and skills they need to lead a peaceful nd prosperous life.