Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
24 July 2025, 8:14 pm
Licha ya mafanikio ya huduma ya mawasiliano kumekuwa na upotoshaji ambao unaendelea hivyo TCRA wamekuwa na kampeni mbalimbali kudhibiti huduma ya mawasiliano kwa kushirikiana na wadau Na Katalina Liombechi Katika kukabiliana na kudhibiti upotoshaji na uenezaji wa taarifa za uongo…
18 July 2025, 2:17 pm
“Kwa anayetaka kutia nia ya Ubunge nafasi iko wazi hatuna shaka na mtu yeyote anayetaka kutia nia kupitia chama chetu“ Na Kuruthumu Mkata Chama cha ACT-Wazalendo wilayani Ulanga kimetangaza kuanza rasmi mchakato wa uchukuaji wa fomu za kugombea nafasi mbalimbali…
17 July 2025, 7:03 pm
Upelelezi zaidi wa kisayansi unaendelea kuhusiana na utambuzi vinasaba vya wanyama hawa maeneo ambayo wanyama wamepatikana Na Katalina Liombechi Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na maofisa wa wanyamapori wilaya ya Ulanga limefanikiwa kuwakamata watu wawili wakazi wa…
15 July 2025, 2:25 pm
Lengo la mbio za hisani ni kutangaza utalii na kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kuhifadhi ILUMA Na Katalina Liombechi Katika kutangaza vivutio na kuendeleza bonde oevu la kilombero wadau na jamii inayounda hifadhi ya jamii ILUMA wanatarajia…
12 July 2025, 8:02 am
Kampuni ya Sun king licha ya kujihusisha na masuala ya nishati mbadala imekuwa ikitengeneza ajira kwa vijana kama njia ya kuiunga mkono serikali kukabiliana na changamoto ya ajira hapa Nchini Na Katalina Liombechi Kampuni ya Sun King, inayojishughulisha na huduma…
8 July 2025, 7:05 pm
Athari za mikopo isiyo rafiki hasa kwa wajasiriamali wadogo wengi hujikuta wakishindwa kulipa mikopo hiyo kwa wakati kutokana na viwango vya riba visivyodhibitika na hatimaye kudumaa zaidi kiuchumi Na Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa Mikopo yenye riba kubwa maarufu kama chap…
7 July 2025, 11:12 am
Katika juhudi za kupunguza upotevu wa mazao kwa wakulima wadogo, Shirika la Farm Africa limeendesha mafunzo ya kilimo bora kwa wakulima wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara. Kupitia ushirikiano na wadau wa teknolojia ya kilimo, mafunzo haya yamelenga kuwajengea wakulima…
5 July 2025, 9:38 am
“Klipu hiyo ni ya kutengenezwa yenye lengo la kunichafua hasa kipindi hiki cha mchakato wa uchaguzi ambacho kinakuwa na chuki na fitina zisizo za msingi kutoka kwa watu wenye nia mbaya ili nishindwe kusimamia uchaguzi wa kura za maoni kwa…
2 July 2025, 9:39 pm
Tuna wanachama watatu wameshindwa kurejesha fomu pengine kutokana na sababu mbalimbali ambazo siwezi kuzijua Na Katalina Liombechi Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Kilombero, Gervas Ndaki, ametaja jumla ya wanachama 36 wa chama hicho waliokuwa wamechukua fomu…
2 July 2025, 8:18 pm
Kilimo shadidi ambacho kinatumia Mbegu kidogo,maji kidogo kinaleta kipato kikubwa na kuinua uchumi wa Mkulima Na Kuruthumu Mkata Taasisi inayojihusisha na Utafiti wa mbegu Tanzania TARI Ifakara waendelea kunufaisha jamii kwa kutoa elimu ya matumizi ya bora za kilimo za…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.