Pambazuko FM Radio

Recent posts

10 April 2024, 11:37 pm

Waathirika wa mafuriko Ifakara wapata msaada

Picha ya waathiriika wakiwa kwenye moja ya kambi – Picha na Katalina Liombechi Na Katalina Liombechi Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Aboubakar Asenga Ametoa Msaada wa vyakula kwa Waathirika wa Mafuriko 135 walioweka kambi katika Shule ya Msingi Kiyongwile…

3 April 2024, 5:06 pm

Jamii yatakiwa kupima magonjwa yasiyoambukiza

Magonjwa yasiyoambukiza ni magonjwa yasiyo na vimelea vinavyoweza kusambazwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, Baadhi ya  magonjwa hayo ni pamoja na Magonjwa ya Moyo, mishipa ya damu, Magonjwa sugu ya njia ya hewa, Shinikizo la Juu la Damu,…

3 April 2024, 1:37 pm

Vijana Ifakara wanatakiwa kupambana kwa kufanya kazi na wasikate tamaa.

Na Elias Maganga Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Peter Lijualikali ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kilombero amewataka vijana kupambana kwa kufanya kazi ili kuzikamilisha ndoto zao. Mh, Lijualikali ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na Pambazukofm kupitia Kipindi cha jioni…

2 April 2024, 3:43 pm

Dkt. Biteko aipongeza Tanesco kurejesha umeme

“Hakuna mgao  wala upungufu wa umeme kwa sasa hiki kilichotokea ni hitilafu kwenye mitambo ya kuzalisha umeme” Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko Na Elias Maganga Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko  amelipongeza shirika la…

1 April 2024, 2:30 pm

Wanusurika kifo baada ya nyumba yao kubomoka-Ifakara

“Hakuna kifo wala majeruhi kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha baada ya nyumba kubomoka ambayo imeacha familia ya watu watatu kukosa makazi,ambapo kwa sasa wamehifadhiwa katika Jengo la Ccm kata ya Kibaoni katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara“-Afisa Mtendaji wa…

28 March 2024, 5:13 pm

Uharibifu wa mazingira unavyogharimu maisha ya watu

‘‘Mnapojadiliana mikakati mtakayokuja nayo ni lazima, lazima nasema lazima ijibu hali ya umasikini sio kumwambia mtu asikate mti bila kumwambia afanye nini’’ Amesema Katibu Tawala Alhaj Mussa Ally Mussa Na Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa Matokeo ya Uharibifu wa Mazingira katika…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.