Pambazuko FM Radio

Recent posts

2 May 2024, 7:23 pm

Ujangili unakuingiza kwenye makosa ya jinai-Kipindi

Jamii katika Bonde la Kilombero imetakiwa kufuata sheria zilizowekwa katika kuvuna rasilimali mbalimbali badala ya kufanya ujangili hali ambayo watajikuta wakiangukia kwenye makosa ya jinai. Mhifadhi Pori la Akiba Kilombero Kamanda Bigilamungu Kagoma amesema ili mtu aweze kuvuna rasilimali zinazosimamiwa…

2 May 2024, 7:08 pm

Bionuai Hatarini kutokana na shughuli za Kibinadamu-Kilombero

Shughuli za Kibinadamu  katika Bonde la Kilombero zimetajwa kuhatarisha uhifadhi wa Bionuai. Mratibu kutoka Shirika la Association Mazingira amezitaja shughuli hizo wakati akizungumza Na Radio pambazuko Fm kutokana na Uwepo wa Watu wanaolima kwa kuhama hama na Kuandaa mashamba kwa…

1 May 2024, 7:30 pm

Waandishi wa habari mjitofautishe na watoa Habari

Waandishi wa Habari wa Redio Pambazuko wamepigwa msasa wa mafunzo ya kuandika habari kwa kufuata maadili na misingi ya Habari. Na Katalina Liombechi Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,na Uchaguzi Mkuu 2025 Waandishi wa Habari wametakiwa kujitofautisha na Watoa Habari.…

1 May 2024, 12:11 am

Wafanyakazi Morogoro walia kwa kutopandishwa madaraja

Wajumbe wa halmashauri za  mkoa wa MIorogooro wameketi kikao cha mwisho mjini Ifakara, kupanga na kuweka sawabajeti kuelekea maadhimisho ya Mei Mosi 2024 Na: Isidory Matanddula Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani katika mkoa wa Morogoro yatafanyika katika halmashauri ya…

19 April 2024, 9:20 pm

Semina ya kuwawezesha wakulima kielimu ili kuongeza tija katika mazao

Picha ni wakulima na wadau wa kilimo halmashauri ya mji wa Ifakara walioshiriki semina mjini Ifakara. Picha na; Isidory Mtunda Wakulima wa halmaashauri ya mji wa Ifakara, wamepatiwa semina, ili waongeze tija katika kilimo, na kuacha kilimo cha mazooea ,…

19 April 2024, 8:28 pm

Maisha ya mwanadamu yanategemea bionuai iliyohifadhiwa

Na Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa Utunzaji wa Bionuai unasadia Uendelevu wa maisha ya Binadamu na Viumbe hai kwa Ujumla. Mhifadhi Kutoka Shirika linalojihusisha na Urejeshaji wa Misitu Afrika(Reforest Africa) Helman Lyatuu amesema hayo Wakati akizungumza na Pambazuko Fm kuhusu Uhifadhi…

17 April 2024, 11:31 pm

Waathirika wa mafuriko Kilombero wapokea mssaada wa chakula tani 6

mifuko ya chakula – Picha na; Katalina Liombechi Kufuatia Adha ya Mafuriko katika Maeneo mbalimbali Wilaya ya  Kilombero mkoani Morogoro,Kampuni ya Sukari Kilombero  imekabidhi tani 6 za Vyakula zenye thamani zaidi ya Sh Mil 14 kusaidia Waathirika wa Mafuriko. Na:…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.