Pambazuko FM Radio

Recent posts

7 July 2023, 5:09 pm

Timu ya Msolwa Station yaibuka bingwa-Tembo cup

Na Katalina Liombechi Mashindano ya Kilombero Tembo Cup yamemalizika kwa Msimu huu wa Mwaka 2023 baada ya Fainali iliyokutanisha Timu ya Msolwa Station kuibuka na Ushindi wa Mabao 5-4 dhidi ya Mang’ula B ushindi ambao umepatikana kwa Mikwaju ya Penati.…

29 June 2023, 10:45 pm

Waganga tiba asili, mbadala waagizwa kuzingatia maadili

Waganga wa tiba asili na tiba mbadala mji wa Ifakara – Picha na; Isidory Mtunda Waganga wa tiba asili na tiba mbadala halmashauri ya mji wa Ifakara, wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameagizwa kufanya huduma ya kuponya wagonjwa na kuachana…

17 June 2023, 12:39 pm

Sheria: Mwanamke kupata talaka kisheria inawezekana bila mamlaka za dini

Wanancnchi wakimsikiliza msaidizi wa kisheria kutoka Morogoro Chediele Senzighe katika moja ya mikutano katika kata ya Mkula – Ifakara Kilombero – Picha Isidory Mtunda. Wanawake wengi wametengana kutokana na sheria za dini zao zinazoeleza kuwa hakuna kuachana mpaka kifo kitakapowatenganisha,…

7 June 2023, 10:09 am

DC Kilombero: Zingatia matumizi sahihi uhifadhi mazingira

“Nawaagiza wananchi wa kijiji cha Chiwachiwa pamoja na  viongozi kutunza na kuhakikisha miti 500 iliyopandwa katika shule ya msingi Chiwachiwa inakua”. Mkuu wa wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya Na; Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa katika kijiji cha Chiwachiwa halmashauri ya…

4 June 2023, 4:39 pm

Sweden yatoa shilingi bilioni 10 utunzaji mazingira

Mradi wa SUSTAIN –ECO utasaidia kuhamasisha shughuli za maendeleo ambazo ni rafiki kwa mazingira ikiwa ni pamoja na kilimo cha kakao, miwa, mpunga, kilimo cha miti na shughuli zingine zinazoendeleza uhifadhi Na Katalina Liombechi Mradi wa SUSTAIN-ECO unakwenda kutatua changamoto…

27 May 2023, 12:03 pm

Tembo wachangia maendeleo -Ifakara

Kutokana na wananchi wa Kijiji cha Sole kata ya Mkula Halmashauri ya Mji wa Ifakara kutembea umbali mrefu kufuata huduma za Afya,STEP,imekabidhi hundi ya kiasi cha Shilingi Mil 10 ,kwa ajili ya Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji hicho hali itakayosaidia…

22 May 2023, 1:10 pm

Timu ya wataalam yaundwa kutekeleza mpango mkakati wa dhana ya Afya Moja

Na Katalina Liombechi Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na uhifadhi wa wanyamapori Afrika (AWF) kwa kushirikiana na ofisi ya Waziri Mkuu, IUCN na wadau wengine wameunda timu ya wataalam kutoka katika bonde la Kilombero kutekeleza mpango mkakati wa Ofisi ya…

16 May 2023, 7:28 pm

Dhana ya Afya Moja katika kutatua changamoto za kiafya

Udhibiti wa magonjwa mbalimbali hauwezi kupatikana kwa kutumia wataalam wa sekta husika pekee hivyo kwa kutumia dhana ya Afya Moja itasaidia kupata suluhu ya afya ya binadamu, wanyama pamoja na mazingira. Na Katalina Liombechi Wataalam wa sekta mbalimbali katika bonde…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.