Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
14 October 2025, 8:26 pm
Wasichana hao waliozalishwa katika umri mdogo na kutelekezwa walifikiwa na Shirika la EDO na kupatiwa mafunzo ya ujuzi wa ushonaji na kilimo cha bustani ya mbogamboga na matunda hivyo kuwasaidia kujitegemea wao na familia zao. Na Nicolatha Mpaka Wakina mama…
11 October 2025, 11:08 am
ACT-Wazalendo kupitia Mgombea Udiwani wa Kata ya Mbasa amesema Mbasa sio sehemu ya kushindwa kupitika Na Katalina Liombechi Mgombea udiwani wa Kata ya Mbasa kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Goodluck Msowoya, amezindua rasmi kampeni zake kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29,…
11 October 2025, 10:38 am
TARURA imekuwa na dhima ya kupanga,kusanifu,kujenga na kufanya matengenezo ya mtandao wa barabara za wilaya kwa ajili ya matokeo endelevu ya kijamii na kiuchumi Na Katalina Liombechi Wakala wa Barabara mijini na Vijijini TARURA Mkoa wa Morogoro wameketi Ifakara kwa…
11 October 2025, 10:06 am
Benki ya CRDB ina asilimia 1 kwa ajili ya jamii kuchangia maendeleo ya serikali Na Katalina Liombechi Katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja Benki ya CRDB imewajibika kwa kukabidhi Viti na Meza 50 katika shule ya Sekondari Mahutanga Halmashauri…
6 October 2025, 7:12 pm
Katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara, utekelezaji wa mradi huu unafanyika katika kata za Katindiuka, Signali, Kiberege, na Kisawasawa, ambako vijana wanalengwa moja kwa moja kwa ajili ya kupata mafunzo, mitaji, na vifaa vya kuendeleza kilimo cha kisasa chenye tija…
3 October 2025, 12:21 pm
Wazazi waomba msaada wa kifedha kiasi cha Tsh.Mil 4 na laki tatu kwa ajili ya kufanikisha matibabu ya Mtoto anayetakiwa kufanyiwa upasuaji kutokana na changamoto nadra aliyozaliwa nayo jinsi inayoleta mkanganyiko Na Katalina Liombechi Katika kitongoji cha magoha Kata ya…
3 October 2025, 9:56 am
Wazee 300 na wajane 334 wa Ifakara wamepatiwa kadi za bima ya afya ya CHF ili kuboresha huduma za afya. Mkuu wa wilaya ameagiza maboresho ya huduma kwa wazee na kuwataka wawezeshwe mikopo ya asilimia 10. Na; Isidory Mtunda Wazee…
1 October 2025, 7:41 pm
Mradi huu unatekelezwa katika Halmashauri ya Mlimba kwa gharama ya shilingi bilioni 6, huku kiasi kingine kikitekelezwa katika Wilaya mbili za Zanzibar Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Kikao cha siku tatu cha uthibitishaji wa ripoti za tathmini ya mradi wa maboresho…
25 September 2025, 9:49 pm
Jamii bado inahitajika kuchukua jukumu la ulinzi na uangalizi wa mtoto ili aweze kutimiza ndoto zake bila vikwazo Na Hija namsa/Katalina Liombechi Watoto wa kike wanne kati ya 67 wameshindwa kuhitimu Elimu ya Sekondari Katika shule ya Matundu hill iliyopo…
23 September 2025, 6:33 pm
Wakulima Ifakara wamefundishwa umuhimu wa kupima udongo na kutumia mbolea kulingana na mahitaji halisi ya udongo. Na; Isidory Mtunda Wakulima katika halmashauri ya mji wa Ifakara, wilaya ya Kilombero, wamepatiwa mafunzo juu ya kanuni bora za kilimo, hususan umuhimu wa…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.