Boma Hai FM
Boma Hai FM
22 April 2024, 2:00 pm
Mbunge wa Rombo Profesa Adolf Mkenda afanya mkutano na wajumbe kutoka tarafa ya Mengwe,aeleza miradi kedekede ya maendeleo iliyofanyika na inayoendelea Rombo. Na Elizabeth Mafie Mbunge wa Rombo Profesa Adolf Mkenda ambae ndie waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia hapa…
13 April 2024, 8:58 am
Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi ambayo yamekuwa yakileta athari kwa wakulima na watumia maji Taasisi ya Nelson Mandela ya sayansi na teknolojia wabaini mfumo wa kubaini ukame mapema. Na Elizabeth Mafie Wadau wa Mazingira kutoka taasisi ya Nelson Mandela…
9 April 2024, 9:20 pm
Bodi ya maji Uroki Bomang’ombe wafanya mkutano na wadau wa maji,waeleza mafanikio ndani ya miaka mitatu,wadau wakiri huduma za maji zimeboreshwa. Na Elizabeth Mafie Bodi za maji za wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro zimetakiwa kuhakikisha kuwa zinafanya kazi kwa weledi…
31 March 2024, 10:35 am
Mashindano ya Mkenda Super Cup ambayo yalianza rasmi mwaka 2022 katika Jimbo la Rombo yakidhaminiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Profesa Adolf Mkenda yazinduliwa rasmi,timu za mpira wa miguu zipatazo 126 kuchuana vikali. Na Elizabeth Mafie Mashindano ya Mkenda Super…
27 March 2024, 7:30 pm
Kutokana na uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu,serikali yatoa onyo. Na Edwine Lamtey Serikali imetoa onyo kwa vikundi vya watu,Taasisi ama vyama vya siasa vinavyojipanga kwa ajili ya kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye…
27 March 2024, 7:04 pm
Bodi ya maji Losaa Kia yapata viongozi wapya,waomba ushirikiano. Na Edwine Lamtey Wananchi wanaoishi karibu na vyanzo vya maji wametakiwa kuvilinda na kuvitunza vyanzo hivyo ili kusaidia upatikanaji wa huduma hiyo na itakayokuwa toshelevu katika maeneo yote ikiwemo yale ya…
20 March 2024, 7:23 pm
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amezindua mradi mkubwa wa maji Hai, mradi ulioondoa changamoto ya maji kwa wakazi wa wilaya hiyo. Na Edwine Lamtey Serikali imesema itaendelea kuhakikisha kuwa huduma ya maji nchini…
16 March 2024, 3:41 pm
Katika kuendelea kuunga mkono serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, mdau wa maendeleo wilayani Hai amekabidhi maabara ya kisasa kwa DC Mkalipa. Na Edwine Lamtey Serikali wilayani Hai imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau…
15 March 2024, 7:56 pm
13 March 2024, 12:13 pm
Mkataba wa kwanza wa Wazi katika vyama vya ushirika na ulioandikwa kwa lugha ya kiswahili na kingereza umesainiwa leo kati ya chama cha ushirika cha MUROSO SANGI dhidi ya Kampuni ya MACJARO LTD ambapo unatajwa kuwa ni mkataba wenye manufaa…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha