Boma Hai FM
Boma Hai FM
29 January 2024, 1:04 pm
Bodi ya maji Bonde la Pangani kwa kushirikiana na Jumuiya ya watumia maji mto Kware wamewataka wananchi katika kata ya Masama Magharibi wanaoharibu vyanzo vya maji kwa kukata miti kuacha mara moja na badala yake watunze vyanzo hivyo. Na Elizabeth…
23 January 2024, 12:59 pm
Wagonjwa mbalimbali kutoka hospitali maalum ya taifa ya magonjwa ambukizi kibon’goto waridhishwa na huduma. Na Elizabeth Mafie Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali maalumu ya Taifa ya magonjwa ambukizi Kibong’oto iliyopo wilayani Siha mkoani Kilimnjaro Dkt Leornad Subi amesema hospitali hiyo itaendelea…
18 January 2024, 12:16 pm
Mkuu wa wilaya ya Hai Amiri Mkalipa awataka wananchi kutunza mazingira. Na Elizabeth Mafie Wananchi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa kulinda na kutunza mazingira ili kuhifadhi vyanzo vya maji dhidi ya uharibifu na kubaki salama kwaajili ya vizazi vijavyo. Kauli…
16 January 2024, 11:58 am
Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Same Mkoani Kilimanjaro na zimesababisha madhara katika miundombinu ya barabara pamoja na kusababisha watu kupoteza maisha. Na Elizabeth Mafie Watu watatu wamefariki Dunia Wilayani same Mkoani Kilimanjaro kwa kufukiwa na nyumba na mmoja…
6 January 2024, 10:21 pm
Aliyekuwa katibu wa mbunge jimbo la Hai Mwl. Benson Lema azikwa kijijini kwao Nronga – Machame. Na Elizabeth Mafie Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe wameshiriki katika ibada ya maziko ya aliyekuwa katibu wake…
5 January 2024, 11:23 pm
Zikiwa zimebaki siku chache shule za msingi na sekondari kufunguliwa hapa nchini mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu atoa wito kwa wakuu wa shule. Na Elizabeth Mafie Wito umetolewa kwa wakuu wa shule za msingi na sekondari katika mkoa…
2 January 2024, 7:06 pm
Baadhi ya wazazi na walezi wametajwa kuwa chanzo cha ukatili kutokana na kutokutoa ushirikiano pindi watoto wao wanapofanyiwa ukatili. Na Elizabeth Mafie Imeelezwa kuwa kudidimia kwa ndoto za watoto wengi hasa wa kike wilayani Same mkoani Kilimanjaro kunatokana na baadhi…
25 December 2023, 9:54 am
Wananchi wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro watakiwa kusheherekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya kwa amani na utulivu. Na Elizabeth Mafie Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro Dkt Christopher Timbuka amesema wamejipanga kuhakikisha usalama wa raia na mali zao katika…
24 December 2023, 7:04 pm
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati Dkt Dotto Biteko amesisistiza ushiriki wa matukio ya kijamii ikiwemo shughuli za kijamii,michezo na matamasha mbali mbali ikiwa ni njia moja wapo ya kuwakutanisha wananchi na taasisi lakini pia kuwajengea mahusiano mazuri baina…
22 December 2023, 2:20 pm
Vifaa tiba pamoja na gari vilivyokabidhiwa katika hospitali ya wilaya ya Siha (picha na Elizabeth Mafie) Hospitali ya wilaya ya Siha imekabidhiwa vifaa tiba pamoja na magari vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia tisa. Na Elizabeth Mafie Ambulance…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha