Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
4 June 2025, 1:22 pm
Maadhimisho ya siku ya mazingira ni nafasi nzuri ya kuhamasisha wananchi kuendelea kuchukua hatua madhubuti katika kudhibiti taka za plastiki na kuchangia katika ulinzi wa mazingira ya dunia nzima Na Katalina Liombechi Katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara, jamii imekuwa…
31 May 2025, 10:35 am
Bonde la Kilombero ni maarufu kwa shughuli za kilimo na ni eneo muhimu Kiikolojia hivyo AGCOT wanaendeleza kilimo cha Kibiashara kinachotunza na kuhifadhi mazingira Na Katalina Liombechi Taasisi ya Kuendeleza Shoroba za Kilimo Tanzania AGCOT kupitia kwa Meneja wake Mkoa…
28 May 2025, 7:23 pm
Inaelezwa kuwa ndoto za vijana vimekuwa zikiishia njiani kutokana na kujihusisha na wizi wa mtandaoni Na Katalina Liombechi na David Ngogolo Katika wakati huu ambao teknolojia imeleta fursa ya matumizi mbalimbali watu wengi hasa vijana wamekuwa wakitumia fursa nyingi za…
24 May 2025, 1:57 pm
Kupanda miti katika eneo hilo ni jitihada za kuhakikisha kuwa Mto Lumemo unasalia kuwa chanzo safi na salama kwa kizazi cha sasa na kijacho. Na Katalina Liombechi Katika jitihada za kutunza mazingira na kulinda vyanzo vya maji wananchi wa Kata…
20 May 2025, 6:47 pm
Na Katalina Liombechi TFS Wilaya ya Kilombero wanaadhimisha Siku ya Nyuki wakisisitiza kuelimisha na kuhamasisha wananchi kufuga nyuki kwa wingi Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS Wilaya ya Kilombero imesema itaendelea kusimamia na kufanya ulinzi shirikishi kulinda Hifadhi za…
16 May 2025, 8:30 pm
Na Katalina Liombechi Zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura awali lilifanyika mwezi Machi na kwa mwezi huu mei kuanzia leo tarehe 16 hadi 22 ni katika kuhakiki taarifa hizo na wengine kujiandikisha kwa wale walioshindwa kujiandikisha…
12 May 2025, 1:00 pm
Katika kuendelea kulinda ardhi oevu ya Bonde la Kilombero vinara wa uhifadhi wakusudia kujielekeza katika mbinu za kuhakikisha bonde hilo linabaki salama Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya amefungua rasmi Mtandao wa Vinara wa Uhifadhi…
10 May 2025, 8:15 am
Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya amefungua rasmi Mtandao wa Vinara wa Uhifadhi wa Bonde la Kilombero (KNCC) kupitia warsha ya siku mbili iliyofanyika kuanzia Mei 8 hadi 9, 2025. Katika hotuba yake ya ufunguzi,…
8 May 2025, 7:38 am
Na Katalina Liombechi Wananchi wa Kijiji cha Kibaoni Halmashauri ya Mji wa Ifakara wametakiwa kutojichukulia sheria mkononi dhidi ya Bw. Thabiti Kapaulana anayedaiwa kufanya uharibifu wa mpunga uliopandwa na wanakijiji katika eneo la wazi la kijiji hicho kitongoji cha Stesheni…
6 May 2025, 3:32 pm
Na Katalina Liombechi Mamba mmoja ameuwawa leo asubuhi baada ya kuonekana katika makazi ya watu katika Mtaa wa Jongo, Kata ya Viwanjasitini, Halmashauri ya Mji wa Ifakara, mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, akiwemo Aikani Kikoti,Leopord Chogo…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.