Pambazuko FM Radio

Recent posts

26 August 2024, 7:41 pm

Mbegu bora mazao ya kimkakati kuzalishwa Ifakara

Na Katalina Liombechi Halmashauri ya Mji wa Ifakara katika Wilaya ya Kilombero imejipanga kuzalisha mbegu bora za mazao ya kimkakati na kugawa kwa wakulima ili kuhakikisha inapata mapato mazuri. Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi…

26 August 2024, 10:41 am

Kipindi: Umuhimu wa kupima afya ya udongo

Na Katalina Liombechi Inaelezwa kuwa kulima kibiashara inategemea maandalizi mazuri ya shamba ili kufahamu afya na aina ya udongo wa shamba hali itakayosaidia kujua aina ya zao unalopaswa kulima na ni aina gani ya viuatilifu vitakavyohitajika. Elia Shemtoi ni Mkuu…

26 August 2024, 10:27 am

Mizinga bora, ufugaji nyuki kisasa-Kipindi

Na Katalina Liombechi Ufugaji wa Nyuki Kisasa umetajwa kuwa miongoni mwa njia bora ya kukabiliana na tembo sambamba na kuongeza kipato hali inayoweza kupunguza utegemezi wa rasilimali mbalimbali kutoka katika maeneo yaliyohifadhiwa. Kwa mujibu wa Diana Mahimbali Afisa Ufugaji Nyuki…

5 August 2024, 6:52 pm

NFRA kuanza kununua mpunga kutoka kwa wakulima Kilombero

“Tumewekwa viongozi ngazi mbalimbali ili tuwasaidie wananchi viongozi mnapo jiingiza kwenye biashara hii na kwenda kunyonya Jasho la mkulima hii sio Sawa haufanyi haki uwe ni Diwani,mwenyekiti sijui wa nini kiongozi ngazi yoyote ile kama unakwenda kudhulumu Jasho la mkulima…

23 July 2024, 4:41 pm

Mbunge Mlimba ataja miradi iliyotekelezwa hadi sasa, inayotekelezwa

“wakati  napata  ubunge tatizo la upatikanaji wa maji katika jimbo la Mlimba lilikuwa kubwa sana ukilinganisha na sasa”Mbunge wa jimbo la mlimba godwine Kunambi N a Elias Maganga Kampeni ya kumtua mama ndoo kishwni KATIKA Jimbo la mlimba Wilayani kilombero…

17 July 2024, 7:12 pm

Uvuvi haramu unahatarisha mazalia ya samaki-Kilombero

Na Katalina Liombechi Inaelezwa Kuwa Uvuvi Haramu unahatarisha Mazalia ya Samaki hali inayoweza kusabibisha kukosa uendelevu wa Rasilimali hiyo. Afisa Mifugo Halmashauri ya Mji wa Ifakara Dkt Dunia Mlanzi amesema kumekuwa na Watu wanaotumia dhana mbalimbali zisizo halali katika uvuvi…

14 July 2024, 5:42 pm

Wafugaji watakiwa kufuga kisasa kuongeza tija

Na Katalina Liombechi Wafugaji wanashauriwa kufuata sheria na kanuni zote zinazohusiana na ufugaji wa wanyama ili kupata tija. Akizungumza na Radio Pambazuko FM Daktari wa Mifugo kutoka Halmshauri ya Mji wa Ifakara Dunia Mlanzi amesema ili mfugaji apate tija anatakiwa…

13 July 2024, 10:17 am

AWF yakabidhi vifaa kuendesha kilimo cha parachichi Kilosa-Kipindi

Na Katalina Liombechi Wananchi wa kata ya Vidunda wilayani Kilosa wanatarajia kunufaika kupitia zao la parachichi ikiwa ni zao la kimkakati mkoani Morogoro. Mchumi Kilimo kutoka Mfuko wa Uhifadhi wa Wanyamapori Afrika AWF Alexander Mpwaga amezungumza hayo wakati akikabidhi vifaa…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.