Pambazuko FM Radio

Recent posts

21 March 2025, 16:35

TFS kuokoa bonde la Kilombero kwa kutunza misitu ya asili, upandaji miti

Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Wakala wa huduma za Misitu Tanzania TFS Wilaya ya Kilombero Wajielekeza katika kuokoa bonde la Kilombero kwa kutunza misitu ya asili na kurithisha utamaduni wa Kupanda miti kwa uendelevu wa Rasilimali mbalimbali. Mhifadhi Misitu Wilaya hiyo…

19 March 2025, 15:46

IRAD yakabidhi miche 5,000 ya mikarafuu Kilombero

Na Elias Maganga Taasisi ya International Rainforest Agriculture Development Limited (IRAD) imetoa miche 5,000 ya mikarafuu kwa wakulima wa Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhamasisha kilimo cha mazao ya viungo. Akizungumza wakati wa makabidhiano…

22 February 2025, 19:43

Walemavu wasioona kilombero wakumbukwa

“Sisi Watu wenye ulemavu kwa muda mrefu hatujakumbukwa ila tunashukuru kwa huyu mdau Issa Vitus Lipagila kwa kutushika mkono sasa tutafanikisha  shughuli zetu kwa kuepuka  kupata ajali zisizokuwa za lazima[“Walemavu wasioona Na Elias Maganga Walemavu wasioona Kilombero wamepatiwa msaada wa…

3 February 2025, 20:02

DC Kyobya ataka Udhibiti Mawakili Vishoka wanaotapeli wananchi-Kilombero

Na Kuruthumu Mkata Mkuu wa wilaya ya kilombero wakili Dunstan Kyobya ameliagiza jeshi la polisi wilayani humo kuhakikisha mawakili vishoka  wanaotapeli wananchi wanakamatwa mara moja ,huku akisisitiza ushirikiano kwenye jambo hilo Hayo amezungumza katika hafla za kilele cha wiki ya…

3 February 2025, 19:41

TCRA kutoa mafunzo udhibiti uhalifu mtandaoni Kilombero

Na Katalina Liombechi Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imesema itaendelea kushirikiana na wadau kushughulikia changamoto za kimawasilino ili kuhakikisha huduma hiyo inakuwa salama kwa watumiaji. Meneja kitengo cha watumia huduma ya mawasiliano TCRA Mhandisi Kadaya Baluhye ameyasema hayo February 2,2025…

31 January 2025, 18:49

TRA watatua changamoto za wafanyabiashara Kilombero

Na Katalina Liombechi Serikali yetu imeweka mifumo rahisi ya ulipaji kodi nasi tumekuwa tukisikiliza changamoto za wafanyabiashara  na kuzitatua kwa wakati. Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilaya ya Kilombero Imesema itaendelea kutatua changamoto za wafanyabishara na kuweka Mazingira rafiki ya…

25 January 2025, 11:07

Mikakati miaka 20 kuokoa, kutunza hifadhi ya Udzungwa

Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Tanzania kuja na mikakati ya miaka 20 kuendelea kutunza na kurejesha mandhari ya Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa kufanya dunia kuwa sehemu salama kwa maisha ya binadamu na viumbe hai kwa ujumla. Mikakati hiyo…

8 January 2025, 01:33

DC Kilombero aagiza halmashauri kuharakisha mikopo ya vikundi

Picha ya hundi pesa zilizotolewa na halmashauri ya Mlimba kwa makundi ya Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu – Picha na Isidory Mtunda Na: Isidory Mtunda Mkuu wa Wilaya ya Kilombero mkoani wa Morogoro, Wakili Danstan Kyobya, ametoa maagizo kwa…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.