Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
19 July 2024, 8:52 pm
Jukwaa la mnyororo wa thamani wa chakula halmashauri ya mji wa Ifakara, mkoani Morogoro limechagua viongozi rasmi Julai 18, 2024 baada ya kukamilika kwa usajili wa jukwaa hilo pamoja na katiba, ambapo viongozi hao watahudumu kwa miaka mitatu Julai 2024…
17 July 2024, 7:12 pm
Na Katalina Liombechi Inaelezwa Kuwa Uvuvi Haramu unahatarisha Mazalia ya Samaki hali inayoweza kusabibisha kukosa uendelevu wa Rasilimali hiyo. Afisa Mifugo Halmashauri ya Mji wa Ifakara Dkt Dunia Mlanzi amesema kumekuwa na Watu wanaotumia dhana mbalimbali zisizo halali katika uvuvi…
14 July 2024, 5:42 pm
Na Katalina Liombechi Wafugaji wanashauriwa kufuata sheria na kanuni zote zinazohusiana na ufugaji wa wanyama ili kupata tija. Akizungumza na Radio Pambazuko FM Daktari wa Mifugo kutoka Halmshauri ya Mji wa Ifakara Dunia Mlanzi amesema ili mfugaji apate tija anatakiwa…
13 July 2024, 10:17 am
Na Katalina Liombechi Wananchi wa kata ya Vidunda wilayani Kilosa wanatarajia kunufaika kupitia zao la parachichi ikiwa ni zao la kimkakati mkoani Morogoro. Mchumi Kilimo kutoka Mfuko wa Uhifadhi wa Wanyamapori Afrika AWF Alexander Mpwaga amezungumza hayo wakati akikabidhi vifaa…
11 July 2024, 2:52 pm
Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya ameagiza wale wote wanaoingiza mifugo kwenye misitu ya asili ya Ibiki na Mbasa iliyopo kijiji cha Sululu kata ya Signal kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Wakili Kyoba ametoa…
10 July 2024, 1:22 pm
Katalina Liombechi Jamii imetakiwa kuacha kuharibu maeneo yaArdhi Oevu katika Bonde la Kilombero ili kusaidia uendelevu wa Mifumo Ikolojia. Mtaalamu wa Maji kutoka Bodi ya Maji RufijiKidakio cha Kilombero Gerald Hamisiamesema uharibifu wa Maeneo ya Ardhi Oevu inapelekea Wanyama na…
9 July 2024, 1:15 pm
MBUNGE WA jImbo la Kilombero Abubakary Asenga akiwa na maafisa wa jeshi la Polisi Kilombero jehi la Polisi Wilaya ya Kilombero huwa linapata wakati mgumu kuongoza misafara ya viongozi mbalimbali kutokana na gari yao kutokuwa na King’ola Na Elias Maganga…
3 June 2024, 9:06 pm
Wakulima wa halmashauri ya mji wa Ifakara wengi wao wanalima mbali na makazi yao, ambapo baada ya mavuno hulazimika kurudisha mazao nyumbani, hapo ndipo hukumbana na kikwazo cha kulipia ushuru mazao hayo. Na Isidory Matandula Wakulima katika halmashauri ya mji…
28 May 2024, 11:09 am
Mhifadhi Shukurani Madinda akiwa na wanafunzi wa S/M Kiogosi Ifakara- Picha na Isidory Matandula Wakala wa misitu Tanzania,wamekuwa wakijishughulisha na shughuli mbali mbali ikiwemo upandaji wa miti kwenye shule, taasisi na kufanya doria katika maeneo ya hifadhi ili kudhibiti majangili…
25 May 2024, 10:27 am
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.