

29 June 2021, 6:13 am
Na: Katalina Liombechi Wakulima wa Mashamba ya Luhogi katika kata ya Minepa wamelalamikia Tembo kufanya uharibifu wa Mazao yao hali ambayo inaweza kuwapelekea kukumbwa na baa la njaa kwa Mwaka huu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakulima hao akiwemo Costasia David,Athman…
25 June 2021, 6:14 am
Na; Katalina Liombechi Mkurugenzi msaidizi wa Elimu ya Msingi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Susana Nyarubamba amesema ili msichana aweze kuwa salama jamii na wazazi wanatakiwa kutengeneza utamaduni wa kuwa walinzi wa watoto wao kila wakati wawapo shuleni…
25 June 2021, 6:06 am
Na: Katalina Liombechi. Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mathayo Masele ameyasema hayo wakati akizungumza na Radio Pambazuko kwa Njia ya Simu ilipotaka kujua ukubwa wa changamoto ya vitendo hivyo kwa watoto katika Wilaya hiyo. Masele amekiri kuwepo kwa changamoto hizo…
25 June 2021, 5:51 am
Na:Katalina Liombechi Wananchi wa Kata ya Igawa katika Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi wameombwa wawe na Utaratibu wa kuchangia michango ya Shule bila kujali kuwa ana au hana Mtoto anayesoma katika shule husika. Kauli hiyo imetolewa na Diwani wa Kata…
18 May 2021, 7:04 am
Na:Katalina Liombechi Mdau wa Kituo cha Sheria na haki za Binadamu Wilaya ya Kilombero Bashiri Kwahai amewataka walimu kutojichukulia sheria Mkononi kwa kuwaadhibu wanafunzi pasipo kufuata utaratibu kwani ni kinyume na haki za Binadamu. Hayo ameyasema alipofika katika Hospitali ya…
18 May 2021, 5:50 am
Wananchi wa Mtaa wa Jongo,Kata ya viwanja sitini katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilayani Kilombero wamechanga mchango wa fedha kiasi cha shilingi milioni tatu na Elfu tisini kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya maadarasa katika shule ya sekondari…
18 May 2021, 5:36 am
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Mangwale Kata ya viwanja sitini katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilayani Kilombero wameeleza wasiwasi wao juu ya vitendo vya kiuhalifu vinavyotokea kwenye mtaa huo. Wakizungumza na pambazukofm baadhi ya wakazi hao akiwemo Joyce …
18 May 2021, 5:21 am
Wakulima 25 katika Kijiji cha Kipenyo kata ya Mtimbira Wilayani Malinyi wamelima Jumla ya hekari 41 za zao la Pamba. Afisa Kilimo wa Kijiji hicho Bwana Miraji Ngaillah amesema wakulima wameanza kuhamasika kulima zao hilo ambapo hapo awali kulikuwa na…
16 December 2020, 8:30 am
Kamati ya MTAKUWA kijiji cha Sagamaganga, kata ya Signali, kwa kipindi cha mwaka mmoja imefanikiwa kuibua ndoa na mimba za utotoni pamoja na matukio ya ubakaji. Hayo yameelezwa na mjumbe wa kamati ya MTAKUWA wa kijiji hicho bi, MACRINA MHALAFU,…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.