Pambazuko FM Radio

Recent posts

26 June 2025, 22:44

Zaidi ya asilimia 90 Ifakara wamelipa kodi

Kwa eneo hili Ifakara wengi wamekwishalipa kodi tunaendelea kuwahimiza Na Katalina Liombechi Timu ya Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Makao Makuu kwa kushirikiana na ofisi ya TRA mkoa wa Morogoro, imeendelea na  ziara yake maalum katika mji…

26 June 2025, 19:44

Tsh.Bil 6 kuleta mageuzi ya kiuchumi Mlimba

Mradi huu kuletwa Kilombero katika Halmashauri ya Mlimba unastahili kutokana na umuhimu wa bonde hili Kiuchumi na upekee wake kiikolojia Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Mradi wenye thamani ya Tsh.Bil 6 wa Kuboresha Mifumo Jumuishi ya Usimamizi wa Chakula, Ardhi na…

23 June 2025, 20:24

TRA Moro yahimiza kulipa kodi kwa hiari

Ulipaji wa kodi siyo tu wajibu wa kisheria, bali ni jukumu la kizalendo katika kuchangia maendeleo ya nchi Na Katalina Liombechi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Morogoro imeendelea kuwatembelea walipakodi kwa lengo la kuwakumbusha kulipa kodi kwa hiari…

21 June 2025, 09:35

Ifakara yahamasisha michezo jumuishi

“Michezo haijabagua nani acheze nani asicheze, ushirikishaji wa watu wenye ulemavu changamoto tunayoipata ni miundombinu sio rafiki” Na Katalina Liombechi Afisa Utamaduni wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara Majaliwa Mbugi amesema kuwa juhudi kubwa zinaendelea kufanyika kuhamasisha ushiriki wa wananchi…

20 June 2025, 20:07

NGOs zatakiwa kufanya kazi kwa kufuata utaratibu

Uwepo wenu ni chachu kubwa ya maendeleo tunazo NGO’s zisizopungua 48 zingine hazitambuliwi. Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Mashirika yasiyo ya kiserikali Wilaya ya Kilombero wamekutana leo katika kikao cha Jukwaa hilo kujadili tathmini ya mchango wao kwa Serikali na jamii,…

20 June 2025, 14:06

Shughuli za kiuchumi Kilombero zahitaji uangalizi kukwepa madhara

Picha ya washiriki wa mjadala wa matokeo ya awali ya utafiti unaofanyika kwenye Bonde la Kilombero(Picha na Elias Maganga) Shughuli zinazoongezeka za kiuchumi na kijamii katika Bonde la Kilombero zinaweza kuleta madhara makubwa zisipoangaliwa kwa umakini. Na Elias Maganga Shughuli…

19 June 2025, 20:19

TANESCO Moro yabaini hujuma miundombinu ya umeme

Katika kuendelea kutoa huduma iliyo bora ya umeme Shirika la TANESCO limebaini changamoto ya kuhujumu miundombinu ya  umeme kwa makusudi au kwa bahati mbaya Na Katalina Liombechi Shirika la Umeme Tanzania—TANESCO Mkoa wa Morogoro limebaini kuwepo kwa changamoto kubwa ya…

18 June 2025, 19:29

Diwani aguswa ugumu wa matibabu, akabidhi bima za afya CHF 170

Wanachama wa CHF hupata huduma haraka na kwa urahisi kwenye vituo vya afya vilivyoingia mkataba na bima hiyo hivyo hupunguza ucheleweshaji wa matibabu unaoweza kusababisha madhara makubwa kiafya Na Katalina Liombechi Jumla ya wahitaji 170 katika kata ya Lupiro Wilaya…

16 June 2025, 20:24

DC Kyobya akemea vitendo vya ukatili dhidi ya watoto

“Lengo kubwa ni kumlinda mtoto aweze kutimiza ndoto zake,tunataka kila mtoto asome“ Na Katalina Liombechi Wazazi na Jamii Wilayani Kilombero wametakiwa kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili watoto kama vitendo vya ukatili na wazazi kutoa ushirikiano katika malezi na lishe ili waweze…

13 June 2025, 15:13

Halmashauri Ifakara kukarabati choo cha stendi

Choo safi na salama husaidia kuzuia kuenea kwa magonjwa ya Mlipuko kama kipindupindu, kuhara, na minyoo hukinga uchafuzi wa mazingira unaoweza kusababishwa na kinyesi kuwa wazi au kutupwa hovyo Na Katalina Liombechi Halmashauri ya Mji wa Ifakara imeanza kuchukua hatua…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.