Recent posts
25 June 2021, 5:51 am
Wananchi Watakiwa Kuchangia Maendeleo ya Shule
Na:Katalina Liombechi Wananchi wa Kata ya Igawa katika Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi wameombwa wawe na Utaratibu wa kuchangia michango ya Shule bila kujali kuwa ana au hana Mtoto anayesoma katika shule husika. Kauli hiyo imetolewa na Diwani wa Kata…
18 May 2021, 7:04 am
Mwanafunzi Mlimba ajeruhiwa kwa viboko na mwalimu
Na:Katalina Liombechi Mdau wa Kituo cha Sheria na haki za Binadamu Wilaya ya Kilombero Bashiri Kwahai amewataka walimu kutojichukulia sheria Mkononi kwa kuwaadhibu wanafunzi pasipo kufuata utaratibu kwani ni kinyume na haki za Binadamu. Hayo ameyasema alipofika katika Hospitali ya…
18 May 2021, 5:50 am
Wananchi Wachangia Ujenzi wa Madarasa
Wananchi wa Mtaa wa Jongo,Kata ya viwanja sitini katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilayani Kilombero wamechanga mchango wa fedha kiasi cha shilingi milioni tatu na Elfu tisini kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya maadarasa katika shule ya sekondari…
18 May 2021, 5:36 am
Uhalifu Wapungua 75%,Wananchi waondolewa Hofu
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Mangwale Kata ya viwanja sitini katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilayani Kilombero wameeleza wasiwasi wao juu ya vitendo vya kiuhalifu vinavyotokea kwenye mtaa huo. Wakizungumza na pambazukofm baadhi ya wakazi hao akiwemo Joyce …
18 May 2021, 5:21 am
Pembejeo,Hamasa mpya kilimo cha Pamba Malinyi
Wakulima 25 katika Kijiji cha Kipenyo kata ya Mtimbira Wilayani Malinyi wamelima Jumla ya hekari 41 za zao la Pamba. Afisa Kilimo wa Kijiji hicho Bwana Miraji Ngaillah amesema wakulima wameanza kuhamasika kulima zao hilo ambapo hapo awali kulikuwa na…
16 December 2020, 8:30 am
Siku 16 za kupinga ukatili Ifakara
Kamati ya MTAKUWA kijiji cha Sagamaganga, kata ya Signali, kwa kipindi cha mwaka mmoja imefanikiwa kuibua ndoa na mimba za utotoni pamoja na matukio ya ubakaji. Hayo yameelezwa na mjumbe wa kamati ya MTAKUWA wa kijiji hicho bi, MACRINA MHALAFU,…