Pambazuko FM Radio

Recent posts

8 May 2025, 7:38 am

Mpunga waharibiwa Ifakara, mgogoro wachukua sura mpya

Na Katalina Liombechi Wananchi wa Kijiji cha Kibaoni Halmashauri ya Mji wa Ifakara wametakiwa kutojichukulia sheria mkononi dhidi ya Bw. Thabiti Kapaulana anayedaiwa kufanya uharibifu wa mpunga uliopandwa na wanakijiji katika eneo la wazi la kijiji hicho kitongoji cha Stesheni…

6 May 2025, 3:32 pm

Mamba auawa baada ya kuingia kwenye makazi ya watu Ifakara

Na Katalina Liombechi Mamba mmoja ameuwawa leo asubuhi baada ya kuonekana katika makazi ya watu katika Mtaa wa Jongo, Kata ya Viwanjasitini, Halmashauri ya Mji wa Ifakara, mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, akiwemo Aikani Kikoti,Leopord Chogo…

18 April 2025, 7:52 pm

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru aipongeza Kilombero

“,Miradi yote 14 iliyopitiwa na mwenge imetekelezwa kwa ubora na kwa viwango vinavyotakiwa niwapongeze sana viongozi wa Wilaya ya Kilombero kwa kusimamamia vizuri”-Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Ndugu Ismail Ally Ussi, Na Elias Maganga Mwenge wa uhuru umekagua,kuzindua,kufungua na…

28 March 2025, 7:06 pm

DC Kilombero awataka CWT kutatua kero za walimu, kuboresha mahusiano

Wajumbe wa mkutano mkuu chama cha walimu CWT Kilombero – Picha na; Isidory Mtunda Na; Isidory Mtunda Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Wakili Dunstan Kyobya, ametoa wito kwa viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani humo kuhakikisha wanatatua kero…

22 March 2025, 5:24 pm

Miche 20,000 yapandwa Malinyi kuhimiza uhifadhi wa mazingira

Na; Isidory Mtunda Zaidi ya miche elfu ishirini imepandwa katika Shule ya Sekondari Njiwa, iliyopo Kata ya Njiwa, Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi pamoja na kuhamasisha elimu ya utunzaji…

21 March 2025, 4:35 pm

TFS kuokoa bonde la Kilombero kwa kutunza misitu ya asili, upandaji miti

Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Wakala wa huduma za Misitu Tanzania TFS Wilaya ya Kilombero Wajielekeza katika kuokoa bonde la Kilombero kwa kutunza misitu ya asili na kurithisha utamaduni wa Kupanda miti kwa uendelevu wa Rasilimali mbalimbali. Mhifadhi Misitu Wilaya hiyo…

19 March 2025, 3:46 pm

IRAD yakabidhi miche 5,000 ya mikarafuu Kilombero

Na Elias Maganga Taasisi ya International Rainforest Agriculture Development Limited (IRAD) imetoa miche 5,000 ya mikarafuu kwa wakulima wa Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhamasisha kilimo cha mazao ya viungo. Akizungumza wakati wa makabidhiano…

22 February 2025, 7:43 pm

Walemavu wasioona kilombero wakumbukwa

“Sisi Watu wenye ulemavu kwa muda mrefu hatujakumbukwa ila tunashukuru kwa huyu mdau Issa Vitus Lipagila kwa kutushika mkono sasa tutafanikisha  shughuli zetu kwa kuepuka  kupata ajali zisizokuwa za lazima[“Walemavu wasioona Na Elias Maganga Walemavu wasioona Kilombero wamepatiwa msaada wa…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.