Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
19 May 2024, 4:47 pm
Jamii imekuwa na Ufahamu Mdogo wa Mamlaka zinazosimamia Utunzaji wa Vyanzo vya Maji.
Hayo yamebainika baada ya Pambazuko Fm kuwauliza Baadhi ya Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara namna wanavyozifahamu Mamlaka hizo.
KIPINDI-KUHUSU MAANA,AINA ZA VYANZO VYA MAJI NA UFAHAMU WA WANANCHI JUU YA MAMLAKA ZINAZOSIMAMIA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI.