Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
19 April 2024, 8:28 pm
Na Katalina Liombechi
Imeelezwa kuwa Utunzaji wa Bionuai unasadia Uendelevu wa maisha ya Binadamu na Viumbe hai kwa Ujumla.
Mhifadhi Kutoka Shirika linalojihusisha na Urejeshaji wa Misitu Afrika(Reforest Africa) Helman Lyatuu amesema hayo Wakati akizungumza na Pambazuko Fm kuhusu Uhifadhi wa Bionuai na umuhimu wake.
Kipindi kuhusu Ufahamu wa Bionuai