Boma Hai FM
Boma Hai FM
30 March 2025, 8:40 am
Padre Dkt Aidan aliyevaa kofia akiwa na wadau mbali mbali wa mazingira katika shule ya sekondari Mawenzi katika siku yake ya Kuzaliwa(picha na Elizabeth Mafie) Wakati baadhi ya watu duniani wakisheherekea siku zao za kuzaliwa kwa kukata keki,imekuwa tofauti kwa…
27 March 2025, 8:36 pm
Kutokana na kuwepo kwa ajali nyingi zinazotokana na waendesha bodaboda, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Jimbo la Hai wamekutana na kuzungumza na waendesha bodaboda hao kwa lengo la kuhakikisha wanabaki salama. Na Elizabeth Mafie Maafisa wasafirishaji…
26 March 2025, 12:55 pm
Kutokana na uvumi kuhusu shule ya msingi Nkwenshoo kuwa ina waalimu watatu pekee na wote wameomba uhamisho,radio Boma Hai Fm imefika ili kukuletea ukweli wa jambo hilo. Na Eliya Sabai Kufuatia taarifa potofu inayosambaa mitandaoni ya kwamba shule ya msingi…
11 September 2024, 11:43 am
Kutokana na zao la parachichi kuonekana zao lenye tija na la kibiashara Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania (TARI) wameendesha mafunzo kwa maafisa kilimo pamoja na wakulima ili wajue namna bora ya kulima zao hilo. Na Elizabeth Mafie. Taasisi ya…
18 August 2024, 9:55 am
Tyc wameendelea kuwajengea uwezo vijana mbalimbali nchini Tanzania katika mikoa minne ambayo mradi wa Boresha maisha kwa vijana unatekelezwa. Na Elizabeth Mafie Shirika la Tanzania Youth Coalition (TYC) limeendelea kuwajengea uwezo vijana mbalilmbali katika mkoa wa Kilimanjaro kupitia mradi wa…
8 August 2024, 12:45 pm
Bodi ya maji Uroki Bomang’ombe yafanya uchaguzi wa mwenyekiti,makamu mwenyekiti,pamoja na wajumbe wawili wa bodi hiyo ambao wataongoza kwa miaka mitatu,wahaidi ushirikiano na mifumo mipya ya kurahisisha huduma kwa wateja. Na Johnson Nkya Mkuu wa wilaya ya Hai Amiri Mkalipa…
30 May 2024, 11:18 am
Wilaya ya Hai yaadhimisha wiki ya maziwa,katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro awapongeza kwa uwaandaji. Na Riziki Lesuya Katibu tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Tixon Nzunda ametoa pongezi kwa uongozi wa wilaya ya Hai kwa kuandaa maadhimisho ya wiki ya maziwa…
23 May 2024, 10:57 am
Katika kuendelea kutunza mazingira pamoja na vyanzo vya maji,mkuu wa wilaya ya Hai Amir Mkalipa ameongoza zoezi la upandaji miti katika chemchem ya chemka na chemchem ya Rashidi Kombo na kuwataka wananchi na wafanyabiashara wa maeneo hayo kuwa na utamaduni…
7 May 2024, 12:10 am
Wanananchi kutoka Rombo Mkoani Kilimanjaro waishio Dar es saalam wakutanishwa na Mbunge wao na kujadili kuhusu maendeleo ya Rombo na namna ya kutatua changamoto mbalimbali. Na Elizabeth Mafie Mbunge wa Rombo Profesa Adolf Mkenda ambae pia ni waziri wa Elimu…
24 April 2024, 2:32 pm
Katika kuelekea miaka 60 ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kata ya Masama Kusini wapanda miti,Diwani asema ni utunzaji wa mazingira. Na Janeth Joachim Diwani wa kata ya Masama Kusini Cedrick Pangani amewataka wananchi kuotesha miti katika maeneo yao katika…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha