Boma Hai FM

Recent posts

16 May 2025, 12:50 pm

CRDB yakabidhi darasa kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum

Crdb bank wilayani Hai mkoani Kilimanjaro yajenga darasa moja la wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule ya Msingi Uswaa lenye thamani ya Shilingi Millioni 25 ,hafla ya makabidhiano yafanyika. Na Henry keto .Hai-Kilimanjaro Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Nurdin Babu…

12 May 2025, 11:55 am

Shule ya msingi Kware yapokea madawati mia moja

Halmashauri ya wilaya ya Hai imetoa madawati mia moja kwa ajili ya shule ya msingi Kware yenye thamani ya shilingi milioni kumi. Na Henry Keto. Hai -Kilimanjaro Afisa mtendaji wa Kijiji cha Kware Edwin Lamtey ametoa wito kwa jamii, waalimu,…

27 April 2025, 8:51 pm

Bodi ya maji yarudisha kwa jamii, Saashisha apongeza

Katika kuendelea kuchochea maendeleo hapa nchini Bodi ya maji Uroki Bomang’ombe yajenga matundu nane ya choo katika shule ya msingi Kiselu. Na Gasper Mushi. Hai-Kilimajaro  Mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe ameipongeza bodi ya maji Uroki Bomang’ombe kwa kutoa…

22 April 2025, 11:46 am

Samia Legal Aid kuondoa migogoro ya ardhi Rombo

Mkuu wa wilaya ya Rombo Raymond Mwangwala akizungumza na waandishi wa habari. Kutokana na wilaya ya Rombo kuwa na migogoro mingi itokanayo na ardhi kampeni ya  msaada wa kisheria ya Samia Legal Aid imetajwa kutatua changamoto hiyo. Na Elizabeth Mafie…

14 April 2025, 12:25 pm

DC Bomboko aungana na wadau wa maji Hai kumpongeza Rais Samia

Kutokana na mafanikio ya sekta ya maji kwa wilaya ya Hai, Mkuu wa wilaya hiyo pamoja na wadau wampongeza Rais Samia. Na James Gasindi Hai-Kilimanjaro. Wadau wa maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai, kwa kauli moja, wamepitisha azimio la…

9 April 2025, 9:55 am

Wananchi Hai watakiwa kutumia mvua zinazoendelea kunyesha kupanda miti

Ikiwa ni wiki ya upandaji miti iliyoanza rasmi Aprili mosi mwaka huu,halmashauri ya wilaya ya Hai imeendelea kupanda miti sehemu mbali mbali kwa ajili ya kuendelea kutunza mazingira. Na oliver  Joel Diwani wa kata ya Masama Kusini Cedrick Pangani amewataka…

8 April 2025, 11:27 am

Walioacha shule watakiwa kurudi kuendelea na masomo

Mkuu wa shule ya Sekondari Keni Renatus Lyimo( picha na Salma Sephu) Katika mahafali ya kwanza ya kidato cha sita ya shule ya sekondari Keni iliyopo wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wazazi na walezi wamekumbushwa kuwarejesha shule wanafunzi wote walioacha…

5 April 2025, 8:29 am

Katibu mpya CCM Hai akabidhiwa ofisi

Katibu mpya CCM Hai apokelewa kwa matarajio makubwa ya mageuzi ya kisiasa Na James Gasindi. Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Hai,  tarehe 4 Aprili 2025, imeshuhudia tukio muhimu la makabidhiano rasmi ya ofisi ya Katibu…

Dira na Dhamira

DIRA

Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja

DHAMIRA

Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha