Boma Hai FM
Boma Hai FM
27 May 2025, 8:47 pm
Askofu mstaafu wa kwanza wa TAG Dkt Immanuel Lazaro aliyefariki mei 17 2025 azikwa kijijini kwao Mudio wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro. Na Elizabeth Mafie. Hai-Kilimanjaro Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson amesema kuwa…
27 May 2025, 11:11 am
“Mazao ya kibiashara katika nchi yetu hususani zao la kahawa kwa mkoa wetu wa Kilimanjaro, tumedharau zao la kahawa, tunakata mikahawa na kujenga majumba lakini tukumbuke kwamba mikahawa hiyo ndio imewasomesha watoto wetu kufika chuo kikuu” Na Elizabeth Mafie-Moshi Kilimanjaro…
26 May 2025, 4:18 pm
Imezoeleka kuwa nyuki hutupatia asali pekee,lakini nyuki hawa wana maziwa yanayopatikana kwa bei ya juu sana,Shirika la Floresta Tanzania wameweza kutubainishia hayo. Na Elizabeth Mafie-Moshi Kilimanjaro Wafugaji wa nyuki mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zitokanazo na mazao ya…
25 May 2025, 8:49 am
“Ni kweli Mradi huu tunategemea utazinduliwa na mbio za mwenge wa uhuru mwaka huu, tunaishukuru serikali kwa kuona umuhimu wa kuleta mradi huu kwa kushirikiana na wananchi wa Donyomurwa “ Na Elizabeth Mafie- Siha Kilimanjaro Ujenzi wa daraja la upinde…
24 May 2025, 5:22 pm
” Kama mnavyofahamu wilaya hii ipo kwenye wilaya kumi za majaribio katika utoaji mikopo,niwajibu wetu kufanya vizuri ili na wengine wa wilaya zingine waweze kuiga “ Na Elizabeth Mafie -Siha Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro Dkt Christopher Timbuka amevitaka…
22 May 2025, 11:32 pm
Mkuu wa Wilaya ya Hai Hassan Bomboko amefanya mkutano na wafanyabiashara wa wilaya ya Hai baada ya wafanyabiashara hao kukiuka mikataba ya vibanda walivyokodishiwa na Halamsahauri kwa kuongeza kenop. Na Eliya Sabai Mkuu wa Wilaya ya Hai Mh. Hassan Bomboko…
21 May 2025, 12:50 pm
Katika kuhakikisha kila Mtanzania anaishi maisha bora na kupata huduma zote za kijamii, Mkuu wa Wilaya ya Hai Hassan Bomboko amefanya mkutano wa hadhara na kusikiliza kero zinazowakabili wananchi. Na Eliya Sabai –Hai Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya Hai Mh Hassan…
20 May 2025, 10:10 am
Mapokezi ya mwenyekiti wa mtaa wa Kingereka aliyechaguliwa kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kuhama chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Na Henry keto, Hai-Kilimanjaro Mwenyekiti wa mtaa wa Kingereka A Dastan kimaro…
18 May 2025, 10:38 am
Mkuu wa wilaya ya Moshi Mkoani kilimanjaro Godfrey Mzanva akihutubia wakati wa mahafali ya 40 ya chuo cha VETA Mkoani Kilimanjaro (Picha na Furaha Hamad) Mkuu wa wilaya ya Moshi Godfrey Mzanva ameshiriki mahafali ya 40 ya chuo cha VETA…
16 May 2025, 7:40 pm
Ikiwa imebaki miezi kadhaa kufanyika kwa uchaguzi mkuu Octoba 2025 ,zoezi la uhakiki wa taarifa pamoja na kuboresha taarifa za wapiga kura katika daftari la kudumu la mpiga kura limeanza rasmi katika maeneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo wilaya ya Hai.…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha