Boma Hai FM
Boma Hai FM
10 June 2025, 9:48 pm
Mbunge wa Jimbo la Hai Saashisha Mafuwe ameuliza swali bungeni kuhusu lini serikali itachukua hatua ya ukarabati wa barabara ya Rundugai-Simanjiro inayounganisha wilaya ya Hai na Simanjiro Na Henry Keto.Hai-Kilimanjaro Mbunge wa Jimbo la Hai, Mheshimiwa Saashisha Mafue, ameonyesha wasiwasi…
10 June 2025, 9:08 pm
Ufunguzi wa mafunzo ya Jeshi la akiba katika kijiji cha Kware kata ya Masama Kusini wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Na James Gasindi. Hai-Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Hai, Haasan Bomboko, amewataka vijana waliojiunga na mafunzo ya Jeshi la Akiba…
9 June 2025, 12:51 pm
Chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Hai kimempokea mwenezi wa chama hicho CPA Amosi Makala katika ziara yake kwenye mikoa ya Kaskazini na kuzungumza na wananchi wa wilaya ya Hai. Na Oliver Joel, Hai-Kilimanjaro Katibu mkuu mwenezi wa CCM Taifa…
6 June 2025, 12:30 am
Maadhimisho ya kilele cha wiki ya Mazingira Duniani ambayo kwa mkoa wa kilimanjaro yamefanyika wilaya ya Hai Na Henry Keto,Hai-Kilimanjaro Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ametoa wito kwa Wananchi kupanda miti na kuitunza na kuhakikisha mazingira yanakuwa…
5 June 2025, 9:36 pm
Wananchi wa kata ya Bondeni kijiji cha Lerai waipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe kwa kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya…
4 June 2025, 4:23 pm
Katika kuelekea maadhimisho ya kilele cha wiki ya Mazingira Duniani Wilaya ya Hai imepanda miti zaidi ya elfu moja katika maeneo mbalimbali ndani ya wilaya hiyo. Na Henry Keto Afisa Tawala Wilaya ya Hai Marry Mnyawi amewaasa wananchi wa wilaya…
2 June 2025, 9:16 pm
Hatimaye mgogoro wa shamba uliodumu kwa miaka 26 kati ya mwekezaji Elizabeth Stegmaier na chama cha msingi cha ushirika Uduru Makoa lenye ukubwa wa hekari 358 unatarajiwa kumalizika mara baada ya hatua za kisheria kukamilika. Na Elizabeth Mafie-Hai Kilimanjaro. Mbunge…
29 May 2025, 2:18 pm
Pichani ni bweni la shule wa wasichana Machame sekondari likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi(picha na Faraja Ulomi) Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wananfunzi kote na nchini,hii inaadhihirika wazi kutokana na miradi mbalimbali ya ujenzi inayoendelea huko mashuleni…
28 May 2025, 10:07 pm
Mafunzo ya udhibiti ubora wa mbegu za kilimo yanayotolewa na taasisi ya (TOSCI) kwenye mradi wa Youth Enterprenuership for the future of food and agriculture (YEFA) Na Henry keto, Hai-kilimanjaro Kaimu mkurugenzi wilaya ya Hai ambaye pia ni Afisa Kilimo…
28 May 2025, 9:21 pm
Wahenga walisema hasira hasara,na ndivyo ilivyotokea kwa Edwin Kileo baada ya kushindwa kuzizuia hasira zake na kuchoma nyumba aliyojenga huko ukweni. Na Elizabeth Mafie.Siha-Kilimanjaro Mahakama Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro,imemuhukumu Edwin Kileo mkazi wa Kijijii cha Naibili (32)ambaye ni mwinjilisti wa…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha