Boma Hai FM
Boma Hai FM
9 December 2023, 11:55 am
Mamlaka ya viwanja vya ndege nchini (TAA) inatarajia kufanya maboresho ya miundombinu ya viwanja vya ndege hapa nchini huku uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ukiwekwa taa za kisasa. Na Elizabeth Mafie Mamlaka ya viwanja vya ndege nchini…
8 December 2023, 4:43 pm
Wananchi wa Rombo mkoani Kilimanjaro wamepatiwa miche ya parachichi zaidi ya elfu moja kwa ajili ya kilimo cha kisasa. Na Elizabeth Mafie Mbunge wa Jimbo la Rombo Pro Adolf Mkenda amekabidhi Miche ya maparachichi zaidi ya alfu moja kwa wakulima…
8 December 2023, 11:40 am
Mbunge wa Jimbo la Rombo Pro Adolf Mkenda amekabidhi Miche ya maparachichi zaidi ya elfu moja kwa wakulima kutoka vijiji mbali mba doli Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Na Elizabeth Mafie Mbunge wa Jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda amekabidhi Miche…
8 December 2023, 8:43 am
Vijana ambao ni wanufaika wa mradi wa boresha maisha kwa vijana wakiwa katika mafunzo. Vijana zaidi ya ishirini katika mkoa wa Kilimanjaro wamepatiwa mafunzo na shirika lisilo la serekali lijulikanalo kama Tanzania Youth Coalition linalotekeleza mradi wa boresha maisha kwa…
7 December 2023, 2:05 pm
Halmashauri Siha imevuka lengo la makusanyo ya mapato kwa kukusanya bilioni 8.24 robo ya mwaka. Na Elizabeth Mafie Halmashauri ya wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro imefanikiwa kuvuka lengo kwa kukusanya shilingi bilioni 8.24 katika robo ya Kwanza ya mwaka…
3 December 2021, 4:14 pm
Serikali wilayani Hai yatoa siku 30 kujengwa madarasa matatu shule iliyokumbwa na tetemeko Na Salma Shaban HAI Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Juma Said Irando ameagiza kujengwa madarasa matatu katika shule ya msingi Nsongoro iliyopo kata ya Masama…
20 November 2021, 9:08 am
Madiwani wasaidieni wananchi kuzitambua fursa za kiuchumi: Diwani kata ya Bomang’ombe Na Salma Shaban HAI Diwani wa kata ya Bomang’ombe wilayani Hai mkoani Kilimanjaro Evod Njau amewaomba madiwani kote nchini kuwasaidia wananchi wakimemo wajasiriamali ikiwa ni pamoja na kutekeleza ahadi…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha