Boma Hai FM
Boma Hai FM
21 December 2023, 9:52 pm
Chama cha ushirika wa akiba na mikopo Hai Rural Teachers SACCOS (HRT) wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kimetoa msaada wa sare za shule kwa wanafunzi wenye uhitaji kutoka shule 16 za wilaya ya Siha. Na Elizabeth Mafie Chama cha Ushirika wa …
20 December 2023, 10:03 pm
Kwa upande wake kaimu wa idara ya mifugo,kilimo na uvuvi ndugu Fraiten Mtika amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia suluhu Hassan kwa kuwaletea pikipiki hizo mpya ambazo ni vitendea kazi muhimu kwaajili ya kuwafikia wananchi na…
19 December 2023, 7:42 pm
Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete ( JKCI ) yaanza kutoa huduma za matibabu ya kibingwa katika mkoa wa Kilimanjaro. Na Elizabeth Mafie Wananchi mkoa wa Kilimanjaro na mikoa jirani wameanza kupatiwa huduma na matibabu ya kibingwa ya ugonjwa wa moyo…
16 December 2023, 9:36 pm
Katika kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, KCMC imefanya hafla kwa ajili ya kusherehekea na watoto wenye changamoto ya saratani pamoja na wazazi wao. Na Elizabeth Mafie Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro kupitia…
15 December 2023, 9:45 pm
Wananchi wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro wahimizwa kujitokeza kwa wingi kupata huduma za kibingwa na matibabu ya ugonjwa wa moyo . Na Elizabeth Mafie Mganga mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Siha Dkt Nsubili Mwakapeje amewataka wananchi na wakaazi wa wilaya…
14 December 2023, 1:24 pm
Mkuu wa wilaya ya Hai Amir Mkalipa amewataka vijana katika vijiji vya kata ya Machame Magharibi kuacha unywaji wa pombe uliopitiliza kwani vijana ni nguvu kazi ya Taifa. Na Elizabeth Mafie. Serikali Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro imewataka vijana kuacha tabia…
13 December 2023, 10:30 pm
Diwani awaandalia tafrija fupi watoto wenye uhitaji. Na Latifa Boto Diwani wa kata ya Masama Magharibi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro Mashoya Natai ameitaka jamii kuwasaidia watoto wenye mahitaji mbalimbali hususani katika msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka ili…
12 December 2023, 9:12 pm
Wananchi Hai wametakiwa kuwajibika kuzuia ukatili wa kijinsia katika jamii. Na Anasta Urio Wananchi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuandaa mazingira ya kudhibiti vitendo vya ukatili katika jamii bila kujali siasa, dini pamoja na ukabila ili kuhakikisha kila mtu anawajibika …
11 December 2023, 11:39 am
Halmashauri ya wilaya ya Hai imeshika nafasi ya kwanza kimkoa katika mbio za mwenge wa uhuru 2023. Na Anasta Urio Mkuu wa wilaya ya Hai Amir Mkalipa amezipongeza kamati mbalimbali zilizohusika katika maandalizi ya mbio za Mwenge wa Uhuru 2023…
10 December 2023, 6:20 pm
Wananchi wa kijiji cha mkombozi wataka kubomoa nyumba ya mwananchi mmoja anayedaiwa kuvamia eneo la kijiji. Na Elizabeth Mafie Diwani wa kata ya Masama Kusini Cedrick Pangani amewataka wananchi wa kijiji cha Mkombozi Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kusitisha zoezi la…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha