Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
28 March 2024, 17:13
‘‘Mnapojadiliana mikakati mtakayokuja nayo ni lazima, lazima nasema lazima ijibu hali ya umasikini sio kumwambia mtu asikate mti bila kumwambia afanye nini’’ Amesema Katibu Tawala Alhaj Mussa Ally Mussa Na Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa Matokeo ya Uharibifu wa Mazingira katika…
27 March 2024, 12:21
Makala inayoelezea Jitihada zinazofanywa na Tawa kulinda Pori la Akiba la Kilombero kama chanzo muhimu cha maji katika Bwawa la Mwalimu Nyerere.
26 March 2024, 16:11
Na Elias Maganga Mwili wa Kijana Shafii Abas Kambeyu aliyesombwa na mafuriko wakati akiwa anawavusha watu wengine katika daraja la Katindiuka halmashauri ya Mji wa Ifakara umepatikana. Akizungumza na pambazukofm Mwenyekiti wa Mtaa wa Katindiuka A Mulla Mlamba amesema mwili…
26 March 2024, 13:58
Na Jackline Raphaely Jamii imekuwa na mwitikio mdogo katika upimaji wa ugonjwa wa kifua kikuu, hali inayoonyesha kuwa bado kuna changamoto kubwa ya kuwafikia watu wenye dalili za ugonjwa huo. Akizungumza katika maadhimisho ya kifua kikuu Machi 24,2024 yaliyoandaliwa na…
25 March 2024, 17:31
Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara wametakiwa kuwa makini katika kipindi hiki cha mafuriko na pia wazazi wanapaswa kuwaangalia watoto wao wasiwaache kwenda kuchezea maji kwani wanaweza kupoteza maisha Na Elias Maganga Baadhi ya maeneo katika Halmashauri ya Mji…
20 February 2024, 11:51
Pori la akiba la Kilombero ni chanzo kikubwa cha maji katika mradi mkubwa wa kufua umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere hivyo kuna kila sababu ya kulilinda ili mradi huo wa kimkakati uweze kukamilika Na Elias Maganga Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori…
5 December 2023, 12:49
Wilaya tatu za mkoa wa Morogoro zimenufaika na umeme wa vijijini- REA, baada ya kituo cha kupozea umeme kilichopo Ifakara kata ya Kibaoni kuwashwa na kuanza kazi. Na; Isidory Mtunda Wilaya za Kilombero, Malinyi na Ulanga mkoani Morogoro kunufaika na…
15 October 2023, 10:11
Baadhi ya wagonjwa wakisubiri huduma za kibingwa -Picha na Isidory Matandula Madaktari bingwa wa mfumo wa mkojo na ENT (Ear, Norse and Throat) kutoka hospitali ya rufaa ya Mtakatifu Fransisko, Ifakara, wiki hii wametoa huduma za kibingwa katika Kituo cha…
4 October 2023, 00:12
wananchi wakifuatilia mafundisho kutoka kwa mwezeshaji wa Morogoro Paralegal Center – Picha Isidory Kituo cha msaada wa kisheria Morogoro Paralegal Center(MPLC), katika ziara ya uhamasishaji (outreach) kimebaini changamoto za kisheria kwa wakazi wilaya za Kilombero, Malinyi na Ulanga, ambao wanakabiliwa…
31 August 2023, 23:37
Meneja wa AWF Clarence Msafiri (kushoto) akikabidhi Vifaa hivyo na Mtendaji wa Kata ya Vidunda Peter Lezile akipokea (Picha Katalina Liombechi) Shirika linalojihusisha na uhifadhi wa Mazingira Afrika (AWF) limetoa vifaa hivyo ni katika Utekelezaji wa Mradi wa SUSTAIN_ECO Unaotekelezwa…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.