Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
29 March 2023, 7:07 pm
Wananchi wa Mtaa wa Viwanja Sitini A katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara wamegomea ujenzi wa kizimba cha taka kwenye eneo la makazi wakidai kuwa inaweza kuleta athari za kiafya Na Katalina Liombechi Wakazi wa Mtaa wa Viwanjasitini A katika…
25 March 2023, 2:58 pm
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Minepa katika Vijiji vya Kivukoni,Mbuyuni na Minepa walipatwa na Maafa ya Nyumba zao kuezuliwa na upepo Mkali ulioambatana na mvua,Serikali Wilayani Ulanga tayari imekamilisha zoezi la tathmini na taarifa hiyo imeshatumwa Ofisi ya Waziri…
21 March 2023, 7:20 pm
Kutokana na changamoto ya upatikanaji wa Damu katika maeneo ya kutolea huduma za Afya,Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato-Ifakara wamejitokeza kuchangia Damu ili kuiunga mkono Serikali. Na Katalina Liombechi Jumla ya Chupa 36 za Damu zimepatikana baada ya watu waliojitokeza…
15 March 2023, 11:36 am
Na Isdory Mtunda Miongoni wa changamoto zinazowakumba baadhi ya wananchi wa Vijiji vya Igota na Magereza ,Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro ,ni kuporwa ardhi na Serikali ya Kijiji. Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi wa Vijiji hivyo katika mkutano uliowakutanisha wananchi…
1 March 2023, 7:12 pm
Na Katalina Liombechi Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Dkt Julius Ningu amewaagiza wataalamu kufanya tathmini ya Nyumba zilizoezuliwa na upepo katika Kata ya Minepa ili Kupata takwimu sahihi za wahanga. Mkuu wa Wilaya huyo ameyasema hayo February 27,Mwaka huu alipofika…
23 February 2023, 3:09 pm
Na Elias Maganga Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzan imetoa fedha Milioni 65 kwa ajili ya ujenzi wa zahanati ya kata ya viwanja sitini katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara. Akizungumza na Pambazuko FM, ilipotembelea mradi huo hii leo…
22 February 2023, 3:31 pm
Isidory Matandula Imeelezwa kuwa asilimia 99 ya watu wanaokufa kutokana na ugonjwa wa kichaa cha mbwa, wanakufa kwasababu waling’atwa na Mbwa mwenye kichaa na asilimia moja tu ndio wanakufa kwa kung’atwa wanyama wengine . Hayo yamebainishwa na Dkt Sambo Maganga…
21 February 2023, 3:40 pm
Na Elias Maganga Mwenyekiti wa Kijiji cha Machipi Halmashauri ya Mji wa Ifakara Wilayani Kilombero Bwana Philip Mwitumba amesema Ujenzi wa jengo la zahanati umefikia hatua ya kupaua na unatarajiwa kukamilika machi 16 mwaka huu. Bwana Mwitumba amesema mradi wa…
21 February 2023, 3:07 pm
Na Rifat Jumanne Watafiti kutoka Taasisi ya utafiti wa Afya Ifakara wameanzisha program maalum ya kutumia ndege zisizo na rubani {Drones} ambazo zitakuwa na uwezo wa kuzunguka na kunyunyizia dawa ili kudhibiti ugonjwa wa malaria katika Mji wa Ifakara. Hayo…
19 February 2023, 4:13 pm
Na Rifati Jumanne Katika kuhakikisha Halmashauri ya Mji wa Ifakara inarejea katika usafi wa mazingira,mashirika yasiyo ya kiserikali Wilayani Kilombero imewaomba Halmashauri ya Wilaya kuandaa mikakati maalumu ili wao waitekeleze kama ilivyo azma yao ya kusaidiana na serikali katika kila…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.