Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
26 August 2024, 20:09
Na Katalina Liombechi Wataalam wa kilimo wamewataka wakulima kutumia mbinu sahihi za uhifadhi wa taka sumu mashambani ili kuzuia athari katika udongo na bianuwai. Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara Dkt Dunia…
26 August 2024, 19:41
Na Katalina Liombechi Halmashauri ya Mji wa Ifakara katika Wilaya ya Kilombero imejipanga kuzalisha mbegu bora za mazao ya kimkakati na kugawa kwa wakulima ili kuhakikisha inapata mapato mazuri. Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi…
26 August 2024, 10:41
Na Katalina Liombechi Inaelezwa kuwa kulima kibiashara inategemea maandalizi mazuri ya shamba ili kufahamu afya na aina ya udongo wa shamba hali itakayosaidia kujua aina ya zao unalopaswa kulima na ni aina gani ya viuatilifu vitakavyohitajika. Elia Shemtoi ni Mkuu…
26 August 2024, 10:27
Na Katalina Liombechi Ufugaji wa Nyuki Kisasa umetajwa kuwa miongoni mwa njia bora ya kukabiliana na tembo sambamba na kuongeza kipato hali inayoweza kupunguza utegemezi wa rasilimali mbalimbali kutoka katika maeneo yaliyohifadhiwa. Kwa mujibu wa Diana Mahimbali Afisa Ufugaji Nyuki…
5 August 2024, 18:52
“Tumewekwa viongozi ngazi mbalimbali ili tuwasaidie wananchi viongozi mnapo jiingiza kwenye biashara hii na kwenda kunyonya Jasho la mkulima hii sio Sawa haufanyi haki uwe ni Diwani,mwenyekiti sijui wa nini kiongozi ngazi yoyote ile kama unakwenda kudhulumu Jasho la mkulima…
25 July 2024, 12:40
Na Katalina Liombechi Shirika linalojihusisha na Uhifadhi wa Tembo Kusini mwa Tanzania STEP kupitia kwa Mtafiti wa Shirika hilo Kepha Mwaviko limesema wanaendelea kujenga uhusiano kati ya binadamu na tembo kwa kutekeleza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuandaa michezo…
23 July 2024, 16:41
“wakati napata ubunge tatizo la upatikanaji wa maji katika jimbo la Mlimba lilikuwa kubwa sana ukilinganisha na sasa”Mbunge wa jimbo la mlimba godwine Kunambi N a Elias Maganga Kampeni ya kumtua mama ndoo kishwni KATIKA Jimbo la mlimba Wilayani kilombero…
19 July 2024, 20:52
Jukwaa la mnyororo wa thamani wa chakula halmashauri ya mji wa Ifakara, mkoani Morogoro limechagua viongozi rasmi Julai 18, 2024 baada ya kukamilika kwa usajili wa jukwaa hilo pamoja na katiba, ambapo viongozi hao watahudumu kwa miaka mitatu Julai 2024…
17 July 2024, 19:12
Na Katalina Liombechi Inaelezwa Kuwa Uvuvi Haramu unahatarisha Mazalia ya Samaki hali inayoweza kusabibisha kukosa uendelevu wa Rasilimali hiyo. Afisa Mifugo Halmashauri ya Mji wa Ifakara Dkt Dunia Mlanzi amesema kumekuwa na Watu wanaotumia dhana mbalimbali zisizo halali katika uvuvi…
14 July 2024, 17:42
Na Katalina Liombechi Wafugaji wanashauriwa kufuata sheria na kanuni zote zinazohusiana na ufugaji wa wanyama ili kupata tija. Akizungumza na Radio Pambazuko FM Daktari wa Mifugo kutoka Halmshauri ya Mji wa Ifakara Dunia Mlanzi amesema ili mfugaji apate tija anatakiwa…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.