Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
1 May 2024, 7:30 pm
Waandishi wa habari wa Redio Pambazuko wamepigwa msasa wa mafunzo ya kuandika habari kwa kufuata maadili na misingi ya habari. Na Katalina Liombechi Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025, waandishi wa habari wametakiwa kujitofautisha na watoa…
1 May 2024, 12:11 am
Wajumbe wa halmashauri za mkoa wa MIorogooro wameketi kikao cha mwisho mjini Ifakara, kupanga na kuweka sawabajeti kuelekea maadhimisho ya Mei Mosi 2024 Na: Isidory Matanddula Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani katika mkoa wa Morogoro yatafanyika katika halmashauri ya…
22 April 2024, 6:49 pm
Na: Katalina Liombechi Mafuriko yamekuwa chanzo cha kukosa huduma muhimu za kibinadamu, kama vile; maji ya kunywa, vyoo, malazi na hata chakula. Hali hiyo pia imesimamisha baadhi ya shughuli za kila siku kwa kaya zilizokumbwa na mafuriko, hivyo njaa, magonjwa…
19 April 2024, 9:20 pm
Picha ni wakulima na wadau wa kilimo halmashauri ya mji wa Ifakara walioshiriki semina mjini Ifakara. Picha na; Isidory Mtunda Wakulima wa halmaashauri ya mji wa Ifakara, wamepatiwa semina, ili waongeze tija katika kilimo, na kuacha kilimo cha mazooea ,…
19 April 2024, 8:28 pm
Na Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa Utunzaji wa Bionuai unasadia Uendelevu wa maisha ya Binadamu na Viumbe hai kwa Ujumla. Mhifadhi Kutoka Shirika linalojihusisha na Urejeshaji wa Misitu Afrika(Reforest Africa) Helman Lyatuu amesema hayo Wakati akizungumza na Pambazuko Fm kuhusu Uhifadhi…
17 April 2024, 11:31 pm
mifuko ya chakula – Picha na; Katalina Liombechi Kufuatia Adha ya Mafuriko katika Maeneo mbalimbali Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro,Kampuni ya Sukari Kilombero imekabidhi tani 6 za Vyakula zenye thamani zaidi ya Sh Mil 14 kusaidia Waathirika wa Mafuriko. Na:…
10 April 2024, 11:37 pm
Picha ya waathiriika wakiwa kwenye moja ya kambi – Picha na Katalina Liombechi Na Katalina Liombechi Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Aboubakar Asenga Ametoa Msaada wa vyakula kwa Waathirika wa Mafuriko 135 walioweka kambi katika Shule ya Msingi Kiyongwile…
9 April 2024, 2:09 pm
Na Elias Maganga Matatizo ya maradhi ya kuambukiza na maradhi ya kudumu kwa muda mrefu kwa mama mjamzito inatajwa kuwa ndicho chanzo cha mtoto kuzaliwa kabla ya muda wa ujauzito kukamilika {Mtoto njiti} Dkt. Samwel William Msomba kutoka kituo cha…
8 April 2024, 6:02 pm
“Kama maji yatakauka kabla ya April 15 mwaka huu shule ifunguliwe na kama hayatakauka shule isifunguliwe” Ni maagizo ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya Ulanga Saida Mahugu. Na Elias Maganga Wakati shule zote zikifunguliwa baada ya mapumziko ya…
8 April 2024, 4:42 pm
“Mpaka sasa Mh Naibu spika zaidi ya wananchi 300 wamehifadhiwa katika baadhi ya Shule,Je serikali na Wizara inamsaidiaje kupata chakula cha dharula kwa wananchi wa Jimbo la Kilombero?“-Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh, Abubakar Asenga Na Elias Maganga Mbunge wa…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.