Recent posts
21 November 2024, 2:13 pm
Six Rivers Africa wakabidhi miche 16,090 kuunga mkono serikali
Na Katalina Liombechi
20 November 2024, 7:15 pm
Wasiasa waelezea sintofahamu baadhi ya majina ya wagombea kuenguliwa Ifakara
Na Katalina Liombechi Wakati zoezi la Kampeni likizinduliwa leo Novemba 20,2024,Katika Halmashauri ya mji wa Ifakara imeelezwa bado kumekuwa na hali ya Sintofahamu kufuatia kile kilichoelezwa kuenguliwa kwa baadhi ya majina ya Wagombea. Wakizungumza mara baada ya Kikao cha kupitia…
20 November 2024, 5:10 pm
Mlimba kuongeza uzalishaji zao la Kakao-Kilombero
Na Katalina Liombechi Tumeona zao hili lina mchango mkubwa wa kiuchumi kwa pato la Halmashauri pia limeleta mabadiliko chanya kwa wakulima hivyo kusaidia Usalama wa chakula kwa ngazi ya kaya na Taifa kwa ujumla. Kufuatia tija ya Kiuchumi kupitia zao…
18 November 2024, 6:44 pm
Watendaji wa kata 19 Ifakara wakabidhiwa pikipiki Kilombero
Na Henry Bernad Mwakifuna Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya ameshauri Halmashauri ya Mji wa Ifakara kuwanunulia Pikipiki Watendaji wa Mitaa na Vijiji kwa ajili ya kuboresha Utendaji kazi zaidi katika Halmashauri hiyo. Taarifa hii inaripotiwa na Henry…
21 October 2024, 1:28 pm
Kipi kimeathiri ubora mto Mchombe?-Kipindi
AWF wamekuwa wakishirikana na Jumuiya za watumia maji kufanya tathmini ili kuona njia bora ya kufanya ubora wa Mto unaongezeka. Na Katalina Liombechi Mfuko wa Uhifadhi wa Wanyamapori Afrika AWF wameshirikiana na Jumuiya ya Watumia Maji Bonde Dogo la Mto…
21 October 2024, 1:15 pm
Muda mzuri wa kupanda, kutunza shamba la kokoa-Kipindi
Na Katalina Liombechi Wakulima wa kokoa wanashauriwa kuzingatia kanuni bora za kilimo kwa kupanda na kufanya palizi kwa wakati ili kuvuna kwa tija. Kwa mujibu wa Afisa Kilimo Kijiji cha Mbingu Sister Eusebia Punduka, kupanda kokoa kwa wakati ni muhimu…
16 October 2024, 4:08 pm
Six rivers Africa yawakumbuka watu 114 wenye uhitaji kwa kuwapatia kadi za bima…
”Tunawashukuru sana Six River Africa kwa kutupatia msaada wa kadi za bima ya afya bure huu ni msaada kwetu ni mkubwa unapozungumzia uhai wa binadamu kwanza uwe na afya njema hawa ndugu zetu wameona mbali sana tunawashukuru”-wanufaika Na Elias Maganga…
11 October 2024, 2:00 pm
Wananchi Kilombero jitokezeni kujiandikisha kupiga kura –Dc Kyobya
”Mwananchi atakayejiandikisha kwenye Daftari atapata fursa ya kupiga kura kuchagua au kuchaguliwa na yule ambaye hatajiandikisha hatoshiriki ucahguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Nov 27 mwaka huu” -Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya Na Elias Maganga Mkuuwa Wilaya…
9 October 2024, 12:23 pm
STEP yawahimiza vijana katika shughuli za uhifadhi wa tembo Kilombero
Na Henry Bernad Mwakifuna Shirika linalojihusisha na Uhifadhi wa Tembo Kusini mwa Tanzania STEP limeendelea kuwahimiza Vijana kuona umuhimu wa uhifadhi na kuitumia Fursa ya uwepo wa Vivutio mbalimbali vilivyomo ndani ya Wilaya ya Kilombero ili waweze kunufaika Zaidi kupitia…
26 August 2024, 8:09 pm
Ujenzi wa vizimba Ifakara kuhifadhi mazingira shambani
Na Katalina Liombechi Wataalam wa kilimo wamewataka wakulima kutumia mbinu sahihi za uhifadhi wa taka sumu mashambani ili kuzuia athari katika udongo na bianuwai. Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi katika Halmashauri ya Mji wa Ifakara Dkt Dunia…