Boma Hai FM
Boma Hai FM
12 February 2026, 16:06
Kutokana na baadhi ya jamii kutowajali, kuwathamini watu wenye mahitaji maalumu taasisi ya New Life Foundation kwa kushirikiana na Tim Tebow Foundation imekusudia kurejesha tabasamu kwa kuwakutanisha kupitia sherehe maalumu. Na Elizabeth Mafie Jamii imetakiwa kuendelea kuwapa kipaumbele watu wenye…
5 February 2026, 15:22
Viongozi katika ngazi mbalimbali wameendelea kuhamasisha uhifadhi na utunzaji wa mazingira kwa kushiriana na wananchi kwa kupanda miti sehemu mbalimbali. Na Oliva Joel Hai-Kilimanjaro Wananchi wa kata ya Romu wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wamehimizwa kupanda miti katika maeneo…
5 February 2026, 15:00
Wananchi wa kata ya Masama Kusini na kata ya Romu wameiomba serikali ya kata kutatua changamoto za maji ya umwahiliaji iliyodumu kwa muda mrefu. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa Kata za Romu na Masama Kusini wilaya ya Hai mkoa…
5 February 2026, 13:21
Katika kuadhimisha miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wananchi,wanachama pamoja na Diwani wa Kata ya Machame Kaskazini wameadhimisha siku hiyo kwa kupanda miti pamoja na kutembelea wagonjwa kituo cha afya Kisiki. Na Bahati Chume Hai -Kilimanjaro Wananchi wa Kata…
4 February 2026, 14:14
Wananchi wilaya ya Hai wamehimizwa kushirikiana na Mahakama kwa kufuata sheria na taratibu, jambo litakalosaidia kuhakikisha haki, usawa, amani na maendeleo ya jamii,Maadhimisho ya wiki ya sheria yameangazia umuhimu wa mahakama kama muhimili huru wa dola unaotoa haki kwa usawa,…
2 February 2026, 18:59
Katika kuadhimisha miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi, kata ya Masama Kati imepanda miti katika kituo cha Afya Masama kati pamoja na kutembelea jengo la wamama wajawazito na kuwalipia gharama za matibabu. Na Oliver Joel, Hai-Kilimanjaro Katika kuadhimisha miaka 49…
2 February 2026, 16:58
Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro Wananchi wa kijiji cha kwasadala kata ya Masama Kusini, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimajaro wamejitokeza kwa wingi kusikiliza bajeti ya mapato na matumizi ya kijiji pamoja na kujadili maendeleo ya kijiji chao. Na Henry Keto, Hai-Kilimanjaro…
2 February 2026, 12:16
Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Hai imefanya kikao cha robo kwaajili yakutathmini hali ya lishe na upatikanaji wake katika kata kumi na saba za wilaya ya Hai zikihusisha wataalamu wa lishe pamoja na maafisa watendaji wa kata. Na Henry…
30 January 2026, 13:15
Shule ya Sekondari Hai Day ni miongoni mwa shule za serikali zinazofanya vizuri kitaaluma kutokana na makubaliano ya wazazi kushiriki mchango wa chakula, kufuatilia kwa karibu maendeleo ya wanafunzi, kudhibiti utoro ,kushirikiana na walimu katika kuboresha mazingira ya kujifunzia ili…
27 January 2026, 16:43
Machame Magharibi wameadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupanda miti pembezoni mwa Barabara kata ya Machame Magharibi Na Vivian Kweka, Hai-Kilimanjaro Diwani wa kata ya Machame Magharibi Martin Munisi amewataka wananchi kuacha kukata…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha