14 December 2023, 1:24 pm

Dc Mkalipa awataka vijana kuacha ulevi uliopitiliza

Mkuu wa wilaya ya Hai Amir Mkalipa amewataka vijana katika vijiji vya kata ya Machame Magharibi kuacha unywaji wa pombe uliopitiliza kwani vijana ni nguvu kazi ya Taifa. Na Elizabeth Mafie. Serikali Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro imewataka vijana kuacha tabia…

Offline
Play internet radio

Recent posts

11 September 2024, 11:43 am

TARI yawanoa wakulima, maafisa ugani Hai na Siha

Kutokana na zao la parachichi kuonekana zao lenye tija na la kibiashara Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania (TARI) wameendesha mafunzo kwa maafisa kilimo pamoja na wakulima ili wajue namna bora ya kulima zao hilo. Na Elizabeth Mafie. Taasisi ya…

18 August 2024, 9:55 am

TYC yawanoa vijana Kilimanjaro kuhusu umiliki wa ardhi

Tyc wameendelea kuwajengea uwezo vijana mbalimbali nchini Tanzania katika mikoa minne ambayo mradi wa Boresha maisha kwa vijana unatekelezwa. Na Elizabeth Mafie Shirika la Tanzania Youth Coalition (TYC) limeendelea kuwajengea uwezo vijana mbalilmbali katika mkoa wa Kilimanjaro kupitia mradi wa…

30 May 2024, 11:18 am

Hai yang’ara wiki ya maziwa

Wilaya ya Hai yaadhimisha wiki ya maziwa,katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro awapongeza kwa uwaandaji. Na Riziki Lesuya Katibu tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Tixon Nzunda  ametoa pongezi kwa uongozi wa wilaya ya Hai kwa kuandaa maadhimisho ya wiki ya maziwa…

23 May 2024, 10:57 am

Dc Mkalipa aongoza zoezi la upandaji miti eneo la utalii Chemka

Katika kuendelea kutunza mazingira pamoja na vyanzo vya maji,mkuu wa wilaya ya Hai Amir Mkalipa ameongoza zoezi la upandaji miti katika chemchem ya chemka na chemchem ya Rashidi Kombo na kuwataka wananchi na wafanyabiashara wa maeneo hayo kuwa na utamaduni…

24 April 2024, 2:32 pm

Kuelekea miaka 60 ya Muungano ,Masama kusini wapanda miti 1650

Katika kuelekea miaka 60 ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kata ya Masama Kusini wapanda miti,Diwani asema ni utunzaji wa mazingira. Na Janeth Joachim Diwani wa kata ya Masama Kusini Cedrick Pangani  amewataka wananchi  kuotesha miti katika maeneo yao katika…

22 April 2024, 2:00 pm

Prof. Mkenda aeleza maendeleo yaliyofanyika Rombo

Mbunge wa Rombo Profesa Adolf Mkenda afanya mkutano na wajumbe kutoka tarafa ya Mengwe,aeleza miradi kedekede ya maendeleo iliyofanyika na inayoendelea Rombo. Na Elizabeth Mafie Mbunge wa Rombo Profesa Adolf Mkenda ambae ndie waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia hapa…

13 April 2024, 8:58 am

Mfumo wa kubaini ukame tumaini jipya kwa wakulima Kilimanjaro

Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi ambayo yamekuwa yakileta athari kwa wakulima na watumia maji Taasisi ya Nelson Mandela ya sayansi na teknolojia wabaini mfumo wa kubaini ukame mapema. Na Elizabeth Mafie Wadau wa Mazingira kutoka taasisi ya Nelson Mandela…

9 April 2024, 9:20 pm

Bodi ya maji Uroki Bomang’ombe yapeta, wadau waridhishwa na huduma

Bodi ya maji Uroki Bomang’ombe wafanya mkutano na wadau wa maji,waeleza mafanikio ndani ya miaka mitatu,wadau wakiri huduma za maji zimeboreshwa. Na Elizabeth Mafie Bodi za maji za wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro zimetakiwa kuhakikisha kuwa zinafanya kazi kwa weledi…

Dira na Dhamira

DIRA

Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja

DHAMIRA

Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha