Offline
Play internet radio

Recent posts

9 April 2025, 9:55 am

Wananchi Hai watakiwa kutumia mvua zinazoendelea kunyesha kupanda miti

Ikiwa ni wiki ya upandaji miti iliyoanza rasmi Aprili mosi mwaka huu,halmashauri ya wilaya ya Hai imeendelea kupanda miti sehemu mbali mbali kwa ajili ya kuendelea kutunza mazingira. Na oliver  Joel Diwani wa kata ya Masama Kusini Cedrick Pangani amewataka…

8 April 2025, 11:27 am

Walioacha shule watakiwa kurudi kuendelea na masomo

Mkuu wa shule ya Sekondari Keni Renatus Lyimo( picha na Salma Sephu) Katika mahafali ya kwanza ya kidato cha sita ya shule ya sekondari Keni iliyopo wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wazazi na walezi wamekumbushwa kuwarejesha shule wanafunzi wote walioacha…

5 April 2025, 8:29 am

Katibu mpya CCM Hai akabidhiwa ofisi

Katibu mpya CCM Hai apokelewa kwa matarajio makubwa ya mageuzi ya kisiasa Na James Gasindi. Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Hai,  tarehe 4 Aprili 2025, imeshuhudia tukio muhimu la makabidhiano rasmi ya ofisi ya Katibu…

30 March 2025, 8:40 am

Pad. Dkt. Aidan aadhimisha siku ya kuzaliwa kwa kugawa miche ya miti

Padre Dkt Aidan aliyevaa kofia akiwa na wadau mbali mbali wa mazingira katika shule ya sekondari Mawenzi katika siku yake ya Kuzaliwa(picha na Elizabeth Mafie) Wakati baadhi ya watu duniani wakisheherekea siku zao za kuzaliwa kwa kukata keki,imekuwa tofauti kwa…

27 March 2025, 8:36 pm

Bodaboda Hai wapatiwa elimu

Kutokana na kuwepo kwa ajali nyingi zinazotokana na waendesha bodaboda, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Jimbo la Hai wamekutana na kuzungumza na waendesha bodaboda hao kwa lengo la kuhakikisha wanabaki salama. Na Elizabeth Mafie Maafisa wasafirishaji…

26 March 2025, 12:55 pm

Wadau walia na upotoshaji wa taarifa wenye nia ovu

Kutokana na uvumi kuhusu shule ya msingi Nkwenshoo kuwa ina waalimu watatu pekee na wote wameomba uhamisho,radio Boma Hai Fm imefika ili kukuletea ukweli wa jambo hilo. Na Eliya Sabai Kufuatia taarifa potofu inayosambaa mitandaoni ya kwamba shule ya msingi…

11 September 2024, 11:43 am

TARI yawanoa wakulima, maafisa ugani Hai na Siha

Kutokana na zao la parachichi kuonekana zao lenye tija na la kibiashara Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania (TARI) wameendesha mafunzo kwa maafisa kilimo pamoja na wakulima ili wajue namna bora ya kulima zao hilo. Na Elizabeth Mafie. Taasisi ya…

18 August 2024, 9:55 am

TYC yawanoa vijana Kilimanjaro kuhusu umiliki wa ardhi

Tyc wameendelea kuwajengea uwezo vijana mbalimbali nchini Tanzania katika mikoa minne ambayo mradi wa Boresha maisha kwa vijana unatekelezwa. Na Elizabeth Mafie Shirika la Tanzania Youth Coalition (TYC) limeendelea kuwajengea uwezo vijana mbalilmbali katika mkoa wa Kilimanjaro kupitia mradi wa…

Dira na Dhamira

DIRA

Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja

DHAMIRA

Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha