Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
18 November 2024, 6:44 pm
Na Henry Bernad Mwakifuna
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Wakili Dunstan Kyobya ameshauri Halmashauri ya Mji wa Ifakara kuwanunulia Pikipiki Watendaji wa Mitaa na Vijiji kwa ajili ya kuboresha Utendaji kazi zaidi katika Halmashauri hiyo.

Taarifa hii inaripotiwa na Henry Bernad Mwakifuna