Pambazuko FM Radio

Mbunge atoa king’ora kwa jeshi la polisi Kilombero

9 July 2024, 1:15 pm

MBUNGE WA jImbo la Kilombero Abubakary Asenga akiwa na maafisa wa jeshi la Polisi Kilombero

jehi la Polisi Wilaya ya Kilombero huwa linapata wakati mgumu kuongoza misafara ya viongozi mbalimbali kutokana na gari yao kutokuwa na King’ola

Na Elias Maganga

Mbunge wa Jimbo La Kilombero Mheshimiws ABUBAKARY Asenga ametoa msaaada kifaa kinachotoa sauti kali kwa ajili ya kutoa ishara au onyo.wa {king’ola} kwa gari la Jeshi la polisi Wilaya ya KILOMBERO Ili kisaidie katika misafara mbalimbali ya viongozi.

Mbunge asenga amatoa msaada huo wa king’OLA BAADA ya Kamanda wa Polisi Wilaya ya kilombero kumuomba kwa muda mrefu pia Mkuu wa Wilaya ya Kilombero wakili Dunstun Kyobya alimkumbusha ndipo alipoamua kununua kingo’ola kidogo amabacho amesema ni cha muda .

Picha Mbunge Jimbl la Kilombero Mh Abubakary Asenga akimkabidhi kingo’ola Mkuu wa kituocha Polisi Ifakara ASP joseph Nzilatunzu{Picha na Elias Maganga}
Sauti ya Mbunge Jimbo la Kilombero Mh Abubakary ASENGA AKikabidhi King’ola

AKIpokea kwa niaba ya kKamanda wa Polisi Wilaya ya kilombero ,Mkuu wa kituo cha Polis Ifakara ASP joseph Nzilatunzu amemshukuru mbunge kwa msaada huo kwani utarahisisha watakapokuwa wakifanya misafara ya viongozi mbalimbali kwani kwa sasa inapotokea midafara wanafanyakazi katika wakati mgumu .

Picha ya Mkuu wa kituo cha Polis Ifakara ASP joseph Nzilatunzuakipokea king’ola kutoka kwa Mbunge Asenga[Picha na ELIAS magangaa}