Boma Hai FM

Recent posts

27 March 2024, 7:30 pm

Watakaoharibu uchaguzi serikali za mitaa kukiona

Kutokana na uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu,serikali yatoa onyo. Na Edwine Lamtey Serikali  imetoa onyo kwa vikundi vya watu,Taasisi ama vyama vya siasa vinavyojipanga kwa ajili ya kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye…

27 March 2024, 7:04 pm

Bodi ya maji Losaa Kia yafanya uchaguzi,waweka mikakati

Bodi ya maji Losaa Kia yapata viongozi wapya,waomba ushirikiano. Na Edwine Lamtey Wananchi wanaoishi karibu na vyanzo vya maji wametakiwa kuvilinda na kuvitunza vyanzo hivyo ili kusaidia upatikanaji wa huduma hiyo na itakayokuwa toshelevu katika maeneo yote ikiwemo yale ya…

16 March 2024, 3:41 pm

Mdau wa maendeleo Hai akabidhi maabara kwa Dc Mkalipa

Katika kuendelea kuunga mkono serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, mdau wa maendeleo wilayani Hai amekabidhi maabara ya kisasa kwa DC Mkalipa. Na Edwine Lamtey Serikali wilayani Hai imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau…

13 March 2024, 12:13 pm

Ushirika Hai waanza kuleta tija, Saashisha aishukuru serikali

Mkataba wa kwanza wa Wazi katika vyama vya ushirika na ulioandikwa kwa lugha ya kiswahili na kingereza umesainiwa leo kati ya chama cha ushirika cha MUROSO SANGI dhidi ya Kampuni ya MACJARO LTD ambapo unatajwa kuwa ni mkataba wenye manufaa…

12 March 2024, 2:06 pm

Wanawake waomba kujengewa kituo cha kulelea watoto kazini

Kutokana na changamoto za malezi ya watoto zinazowakabili wanawake watumishi katika taasisi mbalimbali, watumishi hao wameomba kujengewa kituo cha kulelea watoto. Na Elizabeth Mafie Wanawake watumishi kutoka taasisi mbalimbali ikiwemo Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) kupitia shirika…

9 March 2024, 12:04 pm

Saashisha ashiriki siku ya wanawake duniani, awaasa kuhusu mikopo

Mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe amewataka baadhi ya wanawake wanaokopa mikopo katika taasisi mbalimbali kuacha mara moja kwani mikopo hiyo inaleta athari kwa familia pamoja na jamii. Na Edwin Lamtey Mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe amewaasa…

8 March 2024, 8:45 am

NSSF Hai watoa msaada kuelekea siku ya wanawake duniani

Katika kuelekea siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo Machi 8 kila mwaka NSSF wilaya ya Hai wametoa msaada kwa wenye uhitaji. Na Stanley Christian Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Shirika la Taifa la…

Dira na Dhamira

DIRA

Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja

DHAMIRA

Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha