On air
Play internet radio

Recent posts

30 September 2026, 9:32 am

Holela Holela ita ku ‘kosti’

Na Fedrick Mbaruku Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba, TMDA, imetoa wito kwa wananchi kuwa makini wakati wa kununua na kutumia dawa, hususani dawa zinazopatikana kwenye vyanzo visivyo rasmi. Hayo yameelezwa na Maafisa kutoka mamlaka ya dawa na vifaa tiba…

26 September 2026, 4:01 pm

Arusha kukabiliana na Elnino

“Unajua wananchi sisi ndio tuna mzigo mkubwa wakutokuelewa, unaona kabisa huu ni mtaro au unaona kabisa hapa ni makazi ya watu ambapo hawa watu wamekaa kistaarabu lakini….” Na Fedrick mbaruk Wananchi mkoani arusha wameanza kuchukua tahadhari mbalimbali, ikiwemo kuhama katika…

24 September 2026, 11:37 am

Chess kupenya AFCON 2027?

“Tayari mpaka sasa kuna wanafunzi zaidi ya 200 kutoka nchi mbalimbali ambao tayari wamesha…“ Na Daudi Peter Ukisikia fursa kwa wakati basi ndio hii ambayo wadau wa michezo tayari wameanza kuchangamkia fursa kwenye Makala ya 36 ya mashindano ya AFCON…

22 September 2026, 10:30 am

Kama upo Muriet bondeni hamia kwa ndugu

“Muanze pia kuwasiliana na ndugu zenu ambao wanakaa katika maeneo ya mlimani, ambao tuna uhakika kwamba hata mvua zikiwa nyingi hawawezi kufikiwa na mafuriko” Na Joel Headman Katika kuhakikisha jamii inajiepusha na madhara yanayoweza kuletwa na mvua za Elnino, Mkuu…

18 September 2026, 12:30 pm

‘Elnino’ Jangwani kumezwa na ziwa Manyara

“Maeneo mawili……ndio ambayo yapo katika hatari kubwa zaidi ya kumzewa na ziwa Manayara ni kama linahama na lizanzidi kuingia kwenye makazi ya watu” Na Joel Headman Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa ameuelekeza…

14 September 2026, 1:45 pm

Ndugu wa aliyeuawa Arusha waliangukia jeshi la polisi

“Mimi mwenyewe binasfi kweli wanasemaga mwanaume unatakiwa uwe jasiri,,,mimi kwa tukio nililoliona huo ujasiri nilikosa….kwa sababu mimi ni kitu ambacho nilishaambulia kuliona kwenye movie (filamu) tu, ila…..” Na Joel Headman Ndugu wa kijana Hamis Idd Masimba wameliomba Jeshi la Polisi…

12 September 2026, 11:08 am

Machinga Arusha wapewe mpango kazi wa Kuhama

“Zoezi hili kwa uzoefu wangu tulifanye kwa ushirikishwaji…..Baada ya kikao changu mkutane na viongozi wa Wamachinga katika maeneo yenu” Na Joel Headman Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla amewaagiza wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri na maofisa tarafa kusimamia…

2 September 2026, 4:11 pm

National Housing walilia maji

Tunatafuta temporary measure huduma iweze kurejea…Atleast kwa leo tutapambana kwa sababu,,,,,,, Na Fedrick Mbaruku Baadhi ya wananchi wa mtaa wa National housing kata ya Ngarenaro jijini Arusha wamelalamika kukosa huduma ya maji kwa muda tangu kuanza kwa zoezi la upanuzi…

29 May 2026, 10:17 am

Mtandao nyaraka feki wanaswa Arusha

Na Furahini Sela Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Arusha imezuia ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu uliokuwa ukihusishwa na jaribio la kuuza viwanja vitatu katika Kata ya Levolosi, jijini Arusha. Viwanja hivyo vinadaiwa kuuzwa…

20 May 2026, 9:19 am

5G ya Yas yatua Arusha

Tunafahamu kuwa huduma bora za mawasiliano zina mchango mkubwa katika kukuza biashara, elimu, afya na huduma za kifedha. Kupitia minara hii mipya, wakazi wa Arusha watanufaika na matumizi bora zaidi ya intaneti yatakayorahisisha shughuli zao za kila siku Na Joel…

ABOUT US.

ORGANIZATION.

Triple A Fm is a private owned and a business oriented Radio Station Registered under the Act which formed TCRA.The Radio Station is part of other organizations which are under the umbrella of The Blue Triple A Limited registered under the Companies Ordinance (Cap 212 of the Laws of Tanzania) in 2002.The Radio Station officiated on air in 2004 under a District License to cover only one Regional of Arusha.The Owner is Mr. Papaking Sambeke Mollel and his Family.

Since 2004 Triple A Fm Radio Station works on providing contents based on youth empowerment ,and deals specifically with contents based on entertainment, sports, entrepreneurship and health   .the company own only one frequency which is 88.5.

THE MISSION

As per the functions of Triple A Fm Radio Station ,the mission statement summarizes the Station  roles,which is “To be an effective Radio Station that offering Needed and Quality Contents with time assurance”

THE VISION

“To be the most listened Radio Station in Arusha”

THE CORE VALUES

  • Professionalism
  • Quality
  • Integrity
  • Innovation
  • A drive for customer satisfaction.