Pambazuko FM Radio

Yafahamu masoko ya kokoa

27 December 2024, 4:15 pm

Na Katalina Liombechi

Uwepo wa soko la uhakika wa zao la kokoa imeendelea kuleta mabadiliko makubwa ya kiuchumi kwa wakulima wa Halmashauri ya Mlimba kutokana na mfumo mzuri wa biashara katika zao hilo.

Kwa mujibu wa Afisa Ushirika Halmashauri ya Mlimba Juma Abireu amesema Halmashauri hiyo imekuwa ikitumia mfumo wa kiserikali wa stakabadhi ghalani kwa njia ya mtandao ambapo wanunuzi wanashindanishwa na hatimaye kupatikana mmoja anayeshinda ambapo kwa mwezi Juni kokoa iliuzwa kwa bei ya Tsh.25,720 kwa kilo moja.

KIPINDI:MASOKO YA KOKOA