Mkoani FM

Recent posts

21 August 2023, 3:20 pm

ZAFELA kuwarudhisha watoto wa kike shule

Jumuiya ya wanasheria wanawake Zanzibar yapania kuwarejesha skuli  watoto wa kike waliokatisha  skuli wakiwa  bado hawajafikia umri wa kumaliza kwa kushirikiana na taasisi za serikali na NGOs. Na Fatma Hamad Asasi za kiraia zimetakiwa kushirikiana kwa pamoja katika kuwajengea uwezo…

17 August 2023, 10:50 am

ZALHO kutoa msaada bure wa kisheria kwa wanzanizbari

Shirikala msaada wa kisheria na haki za binaadamu Zanzibar likielezea malengo yake ya kuwasaidia wananchi wanyonge Zanzibar ili waweze kupata haki zao za kisheria hasa kwa wale ambao watashindwa kuwa na mawakili wa kuwasaidia wanapohitaji msaada wa kisheria. Na Fatma…

9 August 2023, 8:32 am

Redio za kijamii Zanzibar kupelekwa kidijitali

Radio za kijamii Zanzibar wamepatiwa mafunzo maalum ya kuweka habari na vipindi kwenye mtandao (Radio Portal) ili kusomwa na kusikika duniani kote. Waandishi wa habari redio za kijamii wametakiwa kutumia mtandao ili kukuza taaluma na kuongeza wasomaji na wasikilizaji. Wito…

7 August 2023, 11:14 am

RC Mattar aiomba Jukuruza kutoa elimu dhidi ya rushwa

Baada ya wajumbe wa Jumuiya ya Kupinga Rushwa na Uhujumu Uchumi JUKURUZA kufika ofisi Mkoa Kusini Pemba kujitambulisha, Mkuu wa Mkoa huo Mattar Zahor Masoud ameiomba jumuiya hiyo kutoa elimu kwa wananchi ili kuondoa rushwa nchini. Na Amina Masoud. Mkuu…

17 March 2023, 2:59 pm

WANAWAKE WASHIRIKI KWENE NGAZI ZA MAAMUZI , KISWAHILI CHAAJWA.

NA KHADIJA RASHID, PEMBA. “KISWAHILI kimenifanya niwe maarufu ndani na nje ya nchi yangu. Lugha hii niliipenda tangu nikizoma shule. Licha ya umaarufu nilioupata kupitia Kiswahili, lugha hii imechangia maendeleo yangu binafsi na taifa kwa ujumla.” Ni kauli ya Consalata…