Recent posts
1 December 2023, 15:54
Wananchi Mbeya watakiwa kutowanyanyapaa watu wenye ulemavu
Watoto na watu wazima wenye ulemavu mara nyingi hukabiliwa na ubaguzi, unaosababisha kupungua kwa upatikanaji wa huduma za msingi za kijamii na kutotambuliwa kwa ujumla. Na Lameck Charles Jamii mkoani Mbeya imekumbushwa kuachana na tabia ya kuwanyanyapaa watu wenye ulemavu…
29 November 2023, 17:56
Wakulima 200 Mbeya wapewa mafunzo ya mboga na matunda
Na Samwel Mpogole Zaidi ya wafanyabiashara na wakulima 200 wa mboga na matunda katika mikoa ya Songwe na Mbeya wamefuzu mafunzo ya ulasama wa chakula ambapo yamelenga kuongeza mnyororo wa thamani kupitia shughuli za uzalishaji . Mafunzo hayo yametolewa na…
29 November 2023, 10:39
Vitambulisho vya taifa zaidi ya 360,000 vyafika mkoa wa Mbeya
Na Samwel Mpogole Mkuu wa mkoa wa mbeya Juma Zuberi Homera amefanya uzinduzi wa wa zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya Taifa (NIDA) huku akiwataka wakuu wa wilaya wote kufanya uzinduzi huo kwenye wilaya zao. Uzinduzi huo umefanyika Novemba 27/2023…
24 November 2023, 14:59
RC Mbeya: Msiwasahau watoto wa kiume, wanapitia ukatili wa kutisha
Na Samweli Ndoni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera amewakumbusha wadau wa sheria na vyombo vya utoaji haki nchini kuelekeza nguvu zao kwenye mapambano dhidi ya ukatili anaopitia mtoto wa kiume akieleza kuwa kampeni nyingi zimewaacha nyuma na badala…
17 November 2023, 16:56
Wanahabari Mbeya wapewa mbinu za kukabiliana na majanga ya moto
Na Mwanaisha Makumbuli Wanachama wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Mbeya, (MBPC) wamepewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto ili kuwajengea uwezo wa kujikinga na kuchukua tahadhari dhidi ya majanga hayo. Pia mafunzo hayo ya siku moja…
15 November 2023, 14:58
‘Feed the Future’ yatoa mafunzo kwa wakulima wa Mboga na Matunda Mbarali
Na Mawanaisha Makumbuli Na Mwanaisha Makumbuli Shirika lisilo la kiserikali feed the future wakishirikiana na USAD kutoka nchini marekani wamewapatia mafunzo wakulima wa mboga mboga na matunda namna bora ya kulima kilimo chenye tija katika mikoa ya Njombe, Morogoro ,Iringa…
10 November 2023, 14:14
CCM yawaita wananchi kumpokea Dk.Tulia
mwandishi lameck Charles Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimekamilisha maandalizi ya kumpokea Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini dokta Tulia Acksoni anayetarajia kuwasili kesho ikiwa ni siku chache tangu kiongozi huyo achaguliwe kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge…
10 November 2023, 14:03
Mbeya ‘Cement’ yarudisha fadhila kwa wananchi
Mwandishi Samweli mpogole Kampuni ya Saruji (Mbeya Cement Ltd) imetoa hekari 700 kwa wanakijiji wa Songwe Viwandani halmashauri ya wilaya ya Mbeya Kwa ajili ya kuendeleza shughuli za kilimo Hatua hiyo ni sehemu ya mchango wa uwekezaji Kwa wananchi wanaoishi…
9 November 2023, 12:39
Takukuru yashtukia upigaji fedha za kikundi Mbeya
Mwandishi Samweli Mpogole Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mkoani Mbeya imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi milioni 50, fedha za kikundi cha Isongole Bambo, wilayani Rungwe ambazo ni mkopo uliotolewa na halmashauri kwa ajili ya kuyawezesha makundi ya…
7 November 2023, 19:05
Wazazi waonywa kuwaozesha watoto kwa wachimba madini Chunya
Na Samweli Mpogole Wazazi na walezi wilaya ya Chunya wametakiwa kuacha tabia ya kuwafanyisha kazi watoto katika shughuli za uchimbaji madini na kuwaozesha wakiwa bado masomoni badala yake wawasimamie katika masomo yao. Wito huo umetolewa na Makamu Mwenyekiti wa halmashauri…