Recent posts
26 July 2022, 2:01 pm
Wakulima wilaya ya Mkoani waomba wafikiwe na maafisa wa utabiri wa hali ya hewa
Wakulima wa kilimo cha mpunga bonde la kimbuni shehiya ya mgagadu wilaya ya mkoani kisiwani pemba wameiomba Radio Jamii Mkoani kuendeleza mashirikiano na wataalamu wa masuala ya kilimo kwa lengo la kuwasaidia wakulima kuongeza ujuzi katika masuala ya kilimo.…
25 July 2022, 9:35 am
Wahudumu wa afya wa kujitolea Pemba kuongeza uhamasishaji wa chanjo ya Uviko-19
WAHUDUMU WA AFYA WA KUJITOLEA PEMBA KUONGEZA UHAMASISHAJI WA CHANJO YA CORONA Wahudumu wa afya wa kujitolea(CHV) kisiwani pemba wametakiwa kuendelea kuhamasisha jamii kujitokeza kuchanja chanjo ya corona ili kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya UVIKO 19. Kauli hiyo…
25 July 2022, 9:31 am
UKOSEFU WA HUDUMA ZA KIJAMII KIKWAZO KWA WANAWAKE KUWA VIONGOZI.
Ukosefu wa Huduma muhimu za Kijamii ni changamoto inayorejesha nyuma wanawake kufikia fursa katika demokrasia na kujihusisha na harakai za uongozi. Ameyasema hayo Mratibu wa Chama Cha Waandishi Wa habari wanawake Tanzania (Tamwa) afisi ya ya Pemba Fathiya Mussa…
3 February 2022, 10:52 am
Walimu watakiwa kuwa wabunifu kuongeza ufaulu.
Walimu wa skuli za msingi na sekondari wilaya ya Mkoani wametakiwa kuwa na ubunifu katika ufundishaji ili kuongeza ufaulu kawenye mitihani yao. Akizungumza mkuu wa wilaya ya mkoani Khatib Juma Mjaja katika kikao cha mikakati ya kujadili tathmini ya matokeo…
23 October 2021, 2:02 pm
Watahaniwa kidato cha 4 Mkanyageni Pemba watakiwa wasiwe wadanganyifu.
Na Khadija Ali Yussuf Watahiniwa kidato cha nne Skuli ya Mkanyageni Sekondari wametakiwa kuwa makini na kuacha udanganyifu wakati wa ufanyaji wa mitihani yao ya taifa. Ushauri huo umetolewa na Mwalimu Mkuu wa skuli hiyo Mbarouk Suleiman Abdallah wakati wa…
23 October 2021, 1:08 pm
Wananchi Kisiwa Panza walia na Maji safi na salama.
Na Said Omar Said Wananchi wa shehia ya kisiwa panza wilaya ya Mkoani Pemba wamelalamika ukosefu wa maji safi na salama katika shehia hiyo. Wakizungumza katika mkutano wa kueleza changamoto zao mbele ya mkuu wa Wilaya ya Mkoani katika kisiwa…
9 October 2021, 8:14 am
Wizara ya afya watakiwa kutoa elimu ya chanjo vijijini
Kutokuwepo kwa elimu ya kutosha kwa baadhi ya vijiji ni changamoto inayopelekea kushindwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa korona. Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa nyakati tofauti wananchi wa wilaya ya mkoani wamesema ni vyema wizara ya afya…
28 September 2021, 11:18 am
Wananchi Pemba waomba Elimu ya Uviko-19
Na Fatma Suleiman Wananchi kisiwani pemba wameiomba serikali kutoa elimu kuhusu korona wimbi la tatu, ili kuongeza uelewa na kuzidisha tahadhari ya kujikinga na maambukizi hayo kwa wanajamii Wakizungumza na habari hizi baadi ya wananchi hao, wameeleza kuwa awali ilipoingia korona…
28 September 2021, 10:28 am
Jeshi la Polisi mkoa wa Kusini Pemba wafanikiwa kukamata Kete 350 za dawa za kul…
Na Amina Ahmed Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba limefanikiwa kukamata jumla ya kete 350 za madawa ya kulevya aina ya heroini yaliyokuwa yakiuzwa kwa vijana wanaotumia na kuwashikilia watu wawili wakihusika na biashara hiyo haramu. Kamanda wa Polisi…