Mkoani FM

Recent posts

20 August 2022, 10:44 am

IUCN kupitia ubalozi wa Ireland Tanzania yang’arisha vikundi vya wajasilia…

Wanavikundi cha Uvumbuzi Pujini Kibaridi,Mapape Cooperative Chambani na Yataka Moyo Chokocho wamelishukuru Shirika la IUCN kupitia mradi unaofadhiliwa na Ubalozi wa Ireland Tanzania kwa kuwasadia kwa hali na mali katika kuboresha vikundi vyao. Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti fupi…

12 August 2022, 8:40 am

Watu wenye ulemavu pemba walia na kitengo cha elimu ya afya

PEMBA Ufikiwaji mdogo wa watu wenye ulemavu katika utoaji wa elimu ya chanjo ya uviko 19 ni changamoto moja wapo inayopelekea ushiriki mdogo kwa kundi hilo. wakizungumza  na mkoani fm mariam khamis hamadi na nasra hakim hassani wenye ulemavu wa…

25 July 2022, 9:31 am

UKOSEFU WA  HUDUMA ZA KIJAMII KIKWAZO KWA WANAWAKE KUWA VIONGOZI.

  Ukosefu wa Huduma muhimu za Kijamii ni changamoto inayorejesha nyuma wanawake kufikia fursa katika demokrasia na  kujihusisha na harakai za uongozi. Ameyasema hayo Mratibu wa Chama Cha Waandishi Wa habari wanawake Tanzania (Tamwa) afisi ya ya  Pemba Fathiya Mussa…

3 February 2022, 10:52 am

Walimu watakiwa kuwa wabunifu kuongeza ufaulu.

Walimu wa skuli za msingi na sekondari wilaya ya Mkoani wametakiwa kuwa na ubunifu katika ufundishaji ili kuongeza ufaulu kawenye mitihani yao. Akizungumza mkuu wa wilaya ya mkoani Khatib Juma Mjaja katika kikao cha mikakati ya kujadili tathmini ya matokeo…

23 October 2021, 2:02 pm

Watahaniwa kidato cha 4 Mkanyageni Pemba watakiwa wasiwe wadanganyifu.

Na Khadija Ali Yussuf Watahiniwa kidato cha nne Skuli ya Mkanyageni Sekondari wametakiwa kuwa makini na kuacha udanganyifu wakati wa ufanyaji wa mitihani yao ya taifa. Ushauri huo umetolewa na Mwalimu Mkuu wa skuli hiyo Mbarouk Suleiman Abdallah wakati wa…

23 October 2021, 1:08 pm

Wananchi Kisiwa Panza walia na Maji safi na salama.

Na Said Omar Said Wananchi wa shehia ya kisiwa panza wilaya ya Mkoani Pemba wamelalamika ukosefu wa maji safi na salama katika shehia hiyo.  Wakizungumza katika mkutano wa kueleza changamoto zao mbele ya mkuu wa Wilaya ya Mkoani katika kisiwa…

9 October 2021, 8:14 am

Wizara ya afya watakiwa kutoa elimu ya chanjo vijijini

Kutokuwepo kwa elimu ya kutosha kwa baadhi ya vijiji ni changamoto inayopelekea kushindwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa korona. Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa nyakati tofauti wananchi  wa wilaya ya mkoani wamesema ni  vyema  wizara  ya  afya…