Mkoani FM

Recent posts

3 December 2022, 12:47 pm

Wananchi washauriwa kuunga mkono bishaa za wajasiliamali wa ndani

Wananchi kisiwani pemba wametakiwa kutumia bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali wanawake ili kuunga mkono juhudi za kujikwamua na umasikini. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Habiba Khamis Mohd mjasiriamali na muuzaji wa unga wa lishe wa Hopeca amesema imefika wakati sasa…

28 November 2022, 7:50 am

Wahitimu kidato cha nne waaswa kujiendeleza kimasomo

WANAFUNZI waliomaliza mitihani ya kidato cha nne wametakiwa kujiwekea malengo ya kitaaluma maraa baada ya kumaliza elimu yoa ya lazima sambamba na kuwa na mashirikiano na wazazi wao ili kujanga jamii iliyo bora. Akizungmza na wazazi na wanafunzi katika ghafla…

26 November 2022, 8:38 am

Early Madrasa Childhood: Kuwapa elimu ya utetezi watu wenye ulemavu

  Watu Wenye Ulemavu Kisiwani Pemba wamesema elimu waliyopatiwa kutoka taasisi ya Early  Madrasa Childhood imeweza kuwasaidia kuwajengea uwelewa wa kiutetezi katika kupata haki zao kisheria. Akizungumza Maryam Juma Kombo kutoka Taasisi ya Usalama Barabarani  amesema  kupitia elimu hiyo ameweza…

21 September 2022, 12:25 pm

Wahamasishaji Jamii pemba watakiwa kuitunza miradi

PEMBA. Wahamasishaji jamii kisiwani Pemba wametakiwa kuongeza juhudi za kutoa uwelewa kwa jamii ili kuienzi na kuitunza miradi wanayoanzishiwa kwa lengo la kuleta maendeleo endelevu kwa vizazi na vizazi. Kauli hiyo imetolewa na mratibu wa mradi wa swil kutoka taasisi…

21 September 2022, 11:47 am

Katibu Machigini: wakulima ongezeni bidii kuondoa uhaba wa chakula

  Wakulima  wa  kilimo cha umwagiliaji wa bonde la machigini, shehia ya mjimbini  Mkoani Pemba wameshauriwa   kuongeza bidii kwenye kilimo chao cha mpunga kwa lengo la kuongeza kasi ya uzalishaji . Ushauri huo umetolewa na katibu wa bonde hilo,Hamdu Hassan…

28 August 2022, 2:45 pm

Wananchi Pemba wanatakiwakuandika urithi ili kuepuka migogoro

  Wananchi kisiswani Pemba wameshauriwa kuzingatia suala la mirathi mara tu baada ya mzazi kufariki ilikuepusha migogoro isiyo ya lazima katika familiya. Kauli hizo zimetolewa na  zulekha suleimn sheha na Sharifa Shaban Hamad wakati akizungumza na mwandishi wa habari hizi…

22 August 2022, 4:52 pm

Kesi 39 za udhalilishaji zaibuliwa ndani ya robo mwaka Wete – Mkoani

JUMLA ya kesi 39 za udhalilishaji wa kijinsiazimeibuliwana wanamtandaowa kupinga udhalilishaji ndani ya wilaya mbili kisiwani pemba. Wakizungumza katika kikao cha kuwasilisharipoti hizo wanamtandao wa kupinga udhalilishaji wilaya ya wete na wilaya ya mkoani wamesema juhudi za pamoja kati ya…

21 August 2022, 2:43 pm

Mbunge viti maalumu Pemba aomba watu wenye ulemavu wahesabiwe

. Wananchi Kisiwani Pemba wametakiwa kutowaficha watu wenye ulemavu wakati wa zoenzi la sensa litakapoanza siku ya tarehe 23/08/2022 kwani nao wana haki kama binaadamu wengine. Kauli hiyo imetolewa na Mh Marya Azani mwinyi Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa…