Mkoani FM

Recent posts

17 March 2023, 2:44 pm

WAKULIMA WA MPUNGA WAMPA KONGOLE BI MAIBA AFISA UMWAGILIAJI.

Na Amina Massoud Jabir Wakulima wa mpunga wa umwagiliaji bonde la Kindani na Machigini wilaya ya mkoani pemba wamepongeza juhudi zinazichokuliwa na kiongozi mwanamke katika kuwasimamia namna bora ya uzalisahji wa mazo yao. Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi wakulima…

17 March 2023, 2:32 pm

ELIMU YA UJASIRIAMALI CHANZO WANAWAKE PEMBA KUSHIKA NGAZI ZA MAAMUZI.

Na Amina Massoud Jabir WANAWAKE wajasiriamali kisiwani Pemba wamewataka wanawake wenzao kutumia fursa zilizopo kwenye vikundi vya ujasiriamali kwani ni chanzo cha kushiriki kwenye harakati za demokrasia na uongozi. Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa kikundi cha KIHOGONI Hadia Ali…

22 February 2023, 11:26 am

Tasisi ya TAMWA na TUJIPE wapania kumaliza suala la udhalilishaji

NA Amina Masoud WAZAZI na walezi kisiwani Pemba wamezishukuru taasisi za kiharakati zinazo ongozwa na wanawake kwa kuwapatia elimu ya kutoa ushahidi Mahakamani ili kuepuka kumaliza kesi za udhalilishaji katika ngazi za familia. Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wazazi…

2 January 2023, 1:45 pm

CHANAGAMOTO YA HEDHI SALAMA KWA WANAFUNZI WAKIKE YAPATIWA SULUHISHO.

Ofisa Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba Mohamed Nassor Salim, anasema, wizara imekuwa ikichukuwa juhudi ya kupambana na hedhi salama kwa wanafunzi wakike , kwa kuwapa elimu ya stadi za maisha ‘ABC’ . Akizungumza na mwandishi wa…

2 January 2023, 1:32 pm

RAISI WA ZANZIBAR:URITHI WA MTOTO NI ELIMU.

RAISi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wanachi kusimamia fursa za elimu kwa watoto wao kwani ndio urithi mzuri wa taifa kiujumla. Dk. Mwinyi ameyasema hayo Mwambe Wilaya ya Mkoani Pemba, wakati akizungumza…