Mkoani FM

Recent posts

9 September 2023, 1:37 pm

Idara ya Tiba Pemba: Endeleeni kutumia vyandarua kumaliza ugonjwa wa malaria

Ugonjwa wa malaria bado upo visiwani Zanziabr hivyo jamii inatakiwa kutumia vyandarua vinavyotolewa na serikali kupitia Wizara ya Afya kitengo cha malaria kwa kushirikiana na  wahisani  mbalimbali wa maendeleo  kwa ajili ya kujifunika na sio kuvifunga kwenye bustani za bogaboga …

8 September 2023, 12:56 pm

Kamati za kupinga ukatili Zanzibar zatoa neno kupunguza talaka

Visiwani Zanziabar kumekuwa na engezeko la talaka kila siku hali hiyo ndio imepelekea  kamati maalum ya kupinga  vitendo vya udhalilishaji  Zanzibar kutoa ushauri kwa serikali kwa kutoa elimu hiyo skuli na madrsa. Na Mwandishi wetu. Kamati za kupinga vitendo vya…

8 September 2023, 12:02 pm

Mtu mmoja ajeruhiwa na watu wasiojuilikana Pemba

Mmiliki wa kambi ya uchumaji  zao la karafuu anajeruhia na watu wasiojuuilikana huko kambini kwake  matukio hayo yanajitokeza kila msimu wa karafuu unapofika  kisiwani Pemba. Na Mwandishi wetu. WATU wasiofahamika Wadaiwa kuvamia kambi ya karafuu na Kumshambulia kwa vitu vyenye…

8 September 2023, 9:40 am

Uchumi wa buluu kuwainua vijana Pemba

Vijana wanatakiwa wasisubiri ajira serikalini bali wajishugulishe kwenye shuguli mbali mbali zikiwemo fursa za uchumi buluu kwa kujiunga kwenye vikundi vya ujasiariamali ili waweze kujiengezea kipato Vijana wameonywa  kuepuka kukaa katika vigenge viovu ,na badala yake wajiunge  na vikundi  vya…

30 August 2023, 12:19 pm

Kipindi: Uchumi wa bluu kuwainua wanawake Pemba

Wanawake wilaya ya Mkoani wanufaika na sera ya uchumi wa bluu kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali zikiwemo kilimo cha mwani ambacho ni maalum kinacholimwa baharini na kwa sasa ni kilimo biashara ambacho wakaazi wanaoishi mwambao wa bahari wanalima kibiashara.

22 August 2023, 12:15 pm

Ukosefu wa maji kuwanyima wanawake usingizi kijiji cha Mjini Kiuyu

Upatikanaji wa maji bado ni changamoto kubwa katika maeneo mengi Pemba hasa vijijini, jambo ambaolo linawakosesha wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo kikamilifu.  Na Fatma Hamad. Ukosefu wa huduma za maji safi na salama  bado ni kilio kikubwa kwa wananchi…